-
Al-Shanqati: Njama za Saudia kuilenga Iran ndani ya eneo la Mashariki ya Kati zimefeli sana
Aug 31, 2017 04:25Mhadhiri wa masuala ya kisiasa nchini Bahrain, ameitaja Saudia kuwa iliyofeli sana katika njama zake tofauti eneo la Mashariki ya Kati kuilenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais wa Zambia apongeza kustawi kukubwa uchumi wa Iran
Aug 30, 2017 10:52Rais Edgar Lungu wa Zambia amepongeza ukuaji wa uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sanjari na kuwepo uhusiano mzuri wa pande mbili kati ya Tehran na Lusaka.
-
Rais Rouhani: Iran sio itakayoanza kukiuka makubaliano ya nyuklia
Aug 30, 2017 02:56Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran sio itakayoanza kukiuka makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la Mpango Kamili wa Utekelezaji wa Pamoja (JCPOA).
-
Iran: Ukiukaji wa makusudi wa anga yetu, utapata jibu kali na la haraka
Aug 29, 2017 10:24Kamanda wa kikosi cha anga magharibi mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bijan Saidi ameelezea uwezekano wa kuenezwa na kutumiwa mfumo wa makombora wa S300 na Bavar 373 katika maeneo ya nchi ikiwemo magharibi kukabiliana na vitisho vya adui.
-
EU yasisitizia haja ya kuheshimiwa makubaliano ya JCPOA
Aug 29, 2017 02:58Kwa mara nyingine tena Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na ahadi zake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina yake na kundi la 5+1 yanayofahamika kama JCPOA na kusisitizia udharura wa kuheshimiwa hati hiyo.
-
Iraq yaishukuru Iran kwa misaada yake muhimu kwa serikali ya Baghdad
Aug 28, 2017 10:19Balozi wa Iraq nchini Algeria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuwa nchi ya kwanza kuwasaidia wananchi wa Iraq katika wakati mgumu hasa wakati wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh walipokaribia kuutwaa mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.
-
Iran haitavuka mstari mwekundu katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Aug 28, 2017 08:34Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema nchi hii itafungamana na kuheshimu ahadi zake kwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na kusisitiza kuwa, kamwe Tehran haitavuka mistari myekundu.
-
Iran na Russia zajadili usalama wa Bahari ya Caspian
Aug 27, 2017 03:17Maafisa wa ngazi za juu wa vikosi vya baharini vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu njia za kuimarisha zaidi usalama katika Bahari ya Caspian.
-
Jumapili, Agosti 27, 2017
Aug 26, 2017 22:07Leo ni Jumapili tarehe 5 Dhul-Qaadah mwaka 1438 Hijiria, sawa na tarehe 27 Agosti 2017 Miladia.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mjini Kabul, Afghanistan
Aug 26, 2017 02:35Iran imelaani vikali hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji mkuu wa Afghanistan Ijumaa ambapo watu 20 waliuawa.