-
Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudia kutekeleza Ibada ya Hija
Aug 25, 2017 03:14Zaidi ya Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudi Arabia hadi hivi sasa kwa ajili ya kutekeleza ibada ya kila mwaka ya Hija ambayo inaanza wiki ijayo.
-
Matamshi ya chuki ya Netanyahu dhidi ya Iran
Aug 25, 2017 02:05Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine ameonana na Rais Vladimir Putin wa Russia katika mji wa Sochi na kujaribu kwa tamaa zake kuionesha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa eti ni nchi hatari katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kiujumla; hata hivyo amefeli.
-
Sisitizo la Qatar la kuimarisha uhusiano na Iran
Aug 24, 2017 08:54Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imesema usiku wa kuamkia leo Alkhamisi kwamba Doha imeamua kumrejesha balozi wake mjini Tehran.
-
Ongezeko la asilimia 58 la bidhaa za Iran zinazouzwa Kenya
Aug 23, 2017 23:14Kumekuwa na ongezeko la asilimia 58 ya bidhaa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zinazouzwa nchini Kenya katika kipindi cha miezi minne iliyopita ikilinganishwa na muda kama huo mwaka 2016.
-
Zarif: Iran inakaribisha kubadilika sera za kieneo za Saudi Arabia
Aug 23, 2017 03:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ikiwa Saudi Arabia itaangalia upya siasa na sera zake za eneo la Mashariki ya Kati itapata jibu na radiamali chanya ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Brigedia Jenerali Hatami: Iran itaendelea kuunga mkono muqawama
Aug 22, 2017 11:00Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuunga mkono mhimili wa muqawama.
-
Operesheni kali ya ulipizaji kisasi dhidi ya magaidi yaanza rasmi Syria, makumi ya magaidi waangamizwa
Aug 22, 2017 03:49Hatua ya kwanza ya operesheni ya Kikosi cha Brigedi ya Sayyidu Shuhadaa ya kulipizaji kisasi kwa ajili shahidi Mohsen Hojaji imeanza rasmi kwa kuangamiza zaidi ya magaidi 30 mashariki mwa Syria.
-
Israel yapatwa na wasiwasi kwa kupanuka mahusiano ya Iran na Uturuki
Aug 21, 2017 04:00Mchambuzi na mwandishi wa Israel amesema kuwa utawaka Kiizayuni umepatwa na wasiwasi mkubwa kufuatia safari ya Mkuu wa Vikosi vya Jeshi la Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uturuki katika fremu ya kupanua mahusiano ya pande zotei wa nchi hizo mbili.
-
Bunge laidhinisha uteuzi wa mawaziri 16 waliopendekezwa na Rais Rouhani
Aug 20, 2017 12:17Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran wamewapigia kura ya kuwa na imani nao mawaziri 16 kati ya 17 waliopendekezwa na Rais Hassan Rouhani kuunda baraza la mawaziri la serikali yake mpya, baada ya vikao vya siku nane vya kuchunguza sifa za mawaziri hao.
-
Sababu ya Iran kupinga vikali Kura ya Maoni ya kujitenga Kurdistan ya Iraq
Aug 19, 2017 03:37Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri amesema Iran na Uturuki zinaitakidi kuwa kujitenga eneo la Kurdistan na ardhi ya Iraq kunaweza kuwa mwanzo wa machafuko ya muda mrefu na kuwaka moto wa vita nchini Iraq ambao matokeo yake yanaweza kuziathiri Iran na Uturuki.