-
Ayatullah Araki: Iran imesambaratisha njama zote za Marekani Iraq, Palestina, Yemen na Syria
Aug 18, 2017 03:38Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesambaratisha njama za Marekani nchini Iraq, Palestina, Yemen na Syria.
-
Iran na Uturuki zajadili kuimarisha uhusiano wa kiulinzi
Aug 17, 2017 02:15Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Uturuki mjini Ankara, kuhusu umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kiulinzi wa pande mbil
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi lilioua na kujeruhi zaidi ya 100 Nigeria
Aug 16, 2017 22:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililosababisha mauaji ya makumi ya watu nchini Nigeria usiku wa kuamkia jana Jumatano.
-
Iran yakadhibisha madai ya US kuwa inakandamiza uhuru wa kuabudu
Aug 16, 2017 09:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali madai yaliyotolewa na Marekani kwamba hakuna uhuru wa kuabudu hapa nchini.
-
Larijani apongeza ushindi wa Hizbullah ya Lebanon katika vita vya siku 33
Aug 15, 2017 23:32Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ametuma ujumbe tofauti kwa Nabih Berri Spika wa Bunge la Lebanon na Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Lebanon katika vita vya siku 33.
-
Rouhani: Marekani ikituwekea vikwazo vipya, tutatumia masaa kujiondoa JCPOA
Aug 15, 2017 03:31Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatumia masaa machache kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Vienna, iwapo Marekani itathubutu kuliwekea taifa hili vikwazo vipya.
-
Bin Salman aitaka Iraq iwe mpatanishi katika mgogoro wa Iran na Saudia
Aug 13, 2017 23:05Qasim al-Araji, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iraq amesema mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na mwana wa mfalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman amemuomba awe mpatanishi katika mgogoro kati ya Saudia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Watu 13 wafariki dunia katika maafa ya mafuriko kaskazini mwa Iran
Aug 12, 2017 08:46Watu wasiopungua 13 wamefariki dunia hapa nchini Iran na makumi ya wengine kujeruhiwa huku mali za watu zikiharibiwa kufuatia maafa ya mafuriko yaliyoyakumba maeneo ya kaskazini mwa nchi.
-
Rais Rouhani: Iran na Chad zitaimarisha uhusiano wa pande mbili
Aug 12, 2017 02:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii iko tayari kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Chad katika nyuga mbalimbali.
-
Hamas yasisitiza nia njema ya Iran kuhusu kadhia ya Palestina
Aug 11, 2017 21:53Afisa wa Uhusiano wa Nje wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, nia njema ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kushughulikia suala la Palestina imethibitika wazi.