-
Jenerali Hussein Salami: Marekani imeshindwa kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 10, 2017 23:48Naibu wa Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) amesema kuwa Marekani ambayo imezowea kuzivamia na kuzikalia kwa mabavu nchi nyingine, lakini imeshindwa kukabiliana na taifa la Iran ya Kiislamu, kama ambavyo imefeli pia.
-
Dakta Salehi: Jibu la Iran kwa ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA litakuwa la kushtukiza
Aug 10, 2017 09:28Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa, kama Iran ikitaka kutoa jibu kwa ukiukaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Utekelezaji wa Pamoja (JCPOA) basi jibu lake litakuwa ni la kushtukiza.
-
Iran: US ijiandae kwa matokeo mabaya ikikiuka JCPOA
Aug 09, 2017 03:08Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitahadharisha Marekani na matokeo mabaya itakayoyapata iwapo itaamua kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Vienna.
-
Seneta wa Republican awasilisha mpango mpya dhidi ya Iran kwenye Kongresi ya US
Aug 08, 2017 10:20Seneta Ted Cruz wa chama cha Republican amewasilisha mpango kwenye Kongresi ya Marekani wenye lengo la kuhakikisha raia wa nchi hiyo waliofungwa jela hapa nchini wanaachiwa huru na kurejeshwa Marekani bila ya masharti yoyote.
-
Iran yawatia mbaroni makumi ya magaidi wa Daesh/ISIS
Aug 08, 2017 03:21Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimewakamata wanachama 27 wenye mfungamano na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) waliokuwa wanapanga njama ya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi nchini.
-
Ulimwengu wa Spoti, Agosi 7
Aug 07, 2017 02:02Ufuatao ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....
-
Tehran mwenyeji wa jumbe za kigeni, maonyesho ya ushirikiano wa dunia na Iran
Aug 06, 2017 11:09Kushiriki kwa jumbe za nchi mbalimbali za mabara matano ya dunia wakiwamo wawakilishi wa karibu taasisi 10 kubwa za kimataifa katika sherehe ya kuapishwa Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kumedhihirisha ushirikiano mkubwa wa dunia na Iran kama nchi muhimu katika eneo la Mashariki ya Kati na yenye usalama na amani.
-
Iran, Uturuki na Qatar zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara
Aug 06, 2017 02:52Mawaziri watatu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Qatar na Uturuki wamefanya mkutano hapa mjini Tehran na kuzungumzia mikakati ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara wa pande tatu.
-
Kim Yong-nam: Iran na Korea Kaskazini zina adui wa pamoja
Aug 05, 2017 22:39Mkuu wa Kongresi ya Taifa ya Watu wa Korea Kaskazini Kim Yong-nam amepongeza taifa la Iran kwa msimamo wake imara na kusema kuwa, anaona fahari kutembelea nchi ambayo ina adui wa pamoja na Korea Kaskazini.
-
Larijani: Sera za Iran ni kustawisha uhusiano na nchi za Afrika
Aug 05, 2017 03:41Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema sera za Jamhuri ya Kiislamu ni kustawisha uhusiano na nchi za Afrika hususan Ghana.