-
Larijani: Sera za Iran ni kustawisha uhusiano na nchi za Afrika
Aug 05, 2017 03:41Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema sera za Jamhuri ya Kiislamu ni kustawisha uhusiano na nchi za Afrika hususan Ghana.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Zimbabwe wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi zao
Aug 04, 2017 22:10Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe wamesisitiza juu ya azma ya nchi zao ya kuimarisha uhusiano katika nyanja mbalimbali.
-
Dakta Larijani: Kuna fursa nyingi za kushirikiana Iran na Uganda
Aug 04, 2017 10:36Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Iran na Uganda zina vyanzo vingi vya utajiri na kwamba, kuna fursa nyingi za kushirikiana Tehran na Kampala.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; kuwa na maelewano mazuri na dunia na kuwa imara katika kukabiliana na mabeberu
Aug 04, 2017 09:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameridhia chaguo la wananchi wa Iran na kumuidhinisha Dakta Hassan Rouhani kuwa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Viongozi wa nchi mbalimbali wawasili Tehran kwa ajili ya sherehe ya kuapishwa Rouhani
Aug 04, 2017 00:19Viongozi na wawakilishi wa nchi mbalimbali duniani wanaendelea kuwasili nchini Iran kwa ajili ya kushiriki katika sherehe ya kuapishwa Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumamosi ya kesho.
-
"Trump amewasaliti Wamarekani kwa kutafuta vita na Iran, Korea Kaskazini"
Aug 03, 2017 03:13Mbunge wa zamani wa Kongresi ya Marekani amesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekiuka ahadi aliyotoa wakati wa kampeni za urais kwamba akiingia madarakani hataitumbukzia tena nchi hiyo katika vita.
-
Araqchi: Vikwazo vipya vya US vinalenga kuisambaratisha JCPOA
Aug 03, 2017 02:55Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kusaini sheria ya vikwazo vipya dhidi ya Tehran ni njama ya Washington ya kutaka kusambaratisha makubaliano ya nyuklia ya Vienna yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA.
-
Trump asaini mswada wa vikwazo dhidi ya Iran, Russia na Korea Kaskazini
Aug 02, 2017 22:04Rais Donald Trump wa Marekani amesaini kuwa sheria mpango wa vikwazo uliopitishwa na Bunge la Wawakilishi na Seneti ya nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Korea Kaskazini.
-
Iran na Russia kuendelea kushirikiana kuhusu mgogoro wa Syria
Aug 02, 2017 03:42Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Iran na Russia wamesisitizia udharura wa kuendelezwa mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria, sambamba na kupambana na magenge ya kigaidi.
-
Iran na Afrika Kusini zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wao
Aug 01, 2017 21:59Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini wamefanya mazungumzo hapa mjini Tehran kuhusu namna ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili hususan katika uga wa siasa.