Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran na Afrika Kusini zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wao

    Iran na Afrika Kusini zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wao

    Aug 01, 2017 21:59

    Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini wamefanya mazungumzo hapa mjini Tehran kuhusu namna ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili hususan katika uga wa siasa.

  • Ulimwengu wa Spoti, Julai 31

    Ulimwengu wa Spoti, Julai 31

    Jul 31, 2017 03:46

    Hujambo mpenzi msikilizaji wa Radio Tehran na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio yaliyogonga vichwa vya habari katika ulimwengu wa spoti, kitaifa na kimataifa ndani ya siku saba zilizopita, karibu.....

  • Iran na Uganda zasisitiza kukuza zaidi ushirikiano baina yao

    Iran na Uganda zasisitiza kukuza zaidi ushirikiano baina yao

    Jul 30, 2017 03:37

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uganda zimesisitiza juu ya kustawisha zaidi ushirikiano baina yao katika nyanja mbalimbali.

  • Araqchi: Hatua ya Kongresi ya Marekani ni mwendelezo wa uadui wa Washington dhidi ya Iran

    Araqchi: Hatua ya Kongresi ya Marekani ni mwendelezo wa uadui wa Washington dhidi ya Iran

    Jul 30, 2017 03:26

    Mkuu wa timu ya Iran ya kufuatilia utekelezwaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) amesema kuwa, hatua ya hivi karibuni ya Kongresi ya Marekani ya kupasisha vikwazo vipya dhidi ya Iran ni hatua ya kiuadui na chuki dhidi ya Tehran.

  • Jumapili,  Julai 30, 2017

    Jumapili, Julai 30, 2017

    Jul 29, 2017 22:37

    Leo ni Jumapili tarehe 6 Dhul-Qaadah mwaka 1438 Hijria, sawa na tarehe 30 Julai, 2017 Miladia.

  • Qassemi: Iran itaendeleza mipango yake ya makombora kwa nguvu zake zote

    Qassemi: Iran itaendeleza mipango yake ya makombora kwa nguvu zake zote

    Jul 29, 2017 22:35

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ina haki ya kutoa majibu mwafaka dhidi ya hatua ya Marekani na kwamba, itaendelea mbele na mipango yake ya makombora.

  • Kamisheni ya Bunge la Iran yapasisha mambo jumla ya kukabiliana na chokochoko za Marekani

    Kamisheni ya Bunge la Iran yapasisha mambo jumla ya kukabiliana na chokochoko za Marekani

    Jul 29, 2017 08:59

    Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni katika Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepasisha katika kikao chache cha dharura hii leo, mambo jumla ya kukabiliana na hatua za kiuhasama na kiuadui za Marekani dhidi ya taifa hili.

  • Syria: Uungaji mkono wa Iran, Russia na Hizbullah kwetu umebadilisha hali ya mlingano duniani

    Syria: Uungaji mkono wa Iran, Russia na Hizbullah kwetu umebadilisha hali ya mlingano duniani

    Jul 29, 2017 03:20

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa ugaidi hauwezi kuyashinda mataifa na kusisitiza kwamba jeshi la nchi hiyo na mhimili wa muqawama zitaendelea kupambana na ugaidi.

  • New York Times: Trump anafanya njama za kuionyesha Iran kuwa ndio iliyokiuka JCPOA

    New York Times: Trump anafanya njama za kuionyesha Iran kuwa ndio iliyokiuka JCPOA

    Jul 28, 2017 21:52

    Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mhariri wa gazeti la The New York Times amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani, anafanya njama za kuionyesha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ndiyo iliyokiuka makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA.

  • Wairani wafanya maandamano Tehran kulaani jinai za Israel

    Wairani wafanya maandamano Tehran kulaani jinai za Israel

    Jul 28, 2017 21:52

    Wairani wa matabaka yote jana Ijumaa walifanya maandamano katika mji mkuu Tehran kulaani ukatili unaoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina katika mji mtakatifu wa Quds sambamba na jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa Rohingya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS