-
Rouhani: Uwezo wa Iran umetokana na kupiga hatua katika uga wa sayansi
Jul 28, 2017 09:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya Iran ya kufanya majaribio ya roketi la kupeleka satalaiti katika anga za mbali kwa mafanikio na kubainisha kuwa, mafanikio kama haya ya kisayansi ndiyo yameipa Iran uwezo na izza mkabala wa adui.
-
Kurushwa angani roketi la Simorgh; maonyesho ya nguvu ya kielimu ya Iran
Jul 28, 2017 08:52Mafanikio mengine ya kielimu yamesajiliwa katika sajili ya kielimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuzinduliwa Kituo cha Kitaifa cha Anga za Mbali cha Imam Khomeini (MA).
-
Rais Hassan Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa Marekani
Jul 26, 2017 09:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa hatua ya Marekani ya kupasishwa vikwazo vipya dhidi ya taifa hili.
-
Wairani kufanya maandamano kulaani jinai dhidi ya Wapalestina, Warohingya
Jul 26, 2017 03:34Wairani wa matabaka yote Ijumaa ijayo wanatazamiwa kufanya maandamano ya nchi nzima kulaani ukatili unaoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina katika mji mtakatifu wa Quds na Msikiti wa al Aqsa sambamba na jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa Rohingya.
-
Ulimwengu wa Spoti, Julai 24
Jul 24, 2017 02:09Ufuatao ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....
-
China iko tayari kusaidia kuimarisha usitishaji vita Syria
Jul 23, 2017 23:21Mjumbe Maalumu wa China katika masuala ya Syria amekaribisha na kuunga mkono ubunifu wa Iran, Russia na Uturuki kwa ajili ya kusaidia kupunguza machafuko huko Syria na kueleza kuwa nchi yake iko tayari kutoa misaada inayohitajika ili kuimarisha usitishaji vita nchini humo.
-
Iran yazindua utengenezaji wa kombora jipya la anga la Sayyad-3
Jul 22, 2017 12:22Uzalishaji wa kombora la anga la masafa marefu la Sayyad-3 umezinduliwa leo katika hafla iliyohudhuriwa na maafisa wa ngazi za juu wa jeshi hapa nchini.
-
Kupunguzwa wanadiplomasia wa Iran; mchezo wa Kuwait katika uwanja wa Saudia
Jul 21, 2017 08:34Baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait kuchukua uamuzi wa kupunguza idadi ya wanadiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu nchini humo, balozi mdogo wa nchi hiyo mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kufahamishwa kuwa serikali ya Iran pia ina haki ya kuchukua hatua kama hiyo dhidi ya Kuwait.
-
Russia yalaani hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya Iran
Jul 21, 2017 03:14Mkuu wa Idara ya Kuzuia na Kudhibiti Silaha iliyo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Mikhail Ulyanov amelaani hatua ya kiuhasama ya Marekani katika kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vipya na kusema kuwa, vikwazo hivyo havijazingatia sheria zozote zile.
-
Zarif: Jamii ya Kimataifa haijali mchezo wa kuigiza wa Marekani dhidi ya Iran
Jul 19, 2017 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiilslamu ya Iran amesema kuwa, jamii ya kimataifa itaendelea kushirikiana na Iran bila ya kujali mchezo wa kuigiza wa vikwazo vya Marekani.