Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yajitosheleza kuzalisha makombora, mabomu erevu, drone

    Iran yajitosheleza kuzalisha makombora, mabomu erevu, drone

    Jul 18, 2017 21:58

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejitosheleza katika kuzalisha silaha za aina mbalimbali zikiwemo makombora, mabomu erevu na ndege zisizo na robani au drone.

  • Jumatatu tarehe 17 Julai, 2017

    Jumatatu tarehe 17 Julai, 2017

    Jul 16, 2017 23:51

    Leo ni Jumatatu tarehe 22 Shawwal 1438 Hijria sawa na Julai 17, 2017

  • Jasusi mwingine wa Marekani atiwa mbaroni nchini Iran

    Jasusi mwingine wa Marekani atiwa mbaroni nchini Iran

    Jul 16, 2017 10:49

    Msemaji wa Chombo cha Mahakama cha Iran amesema kuwa, jasusi mmoja mwenye uraia wa nchi mbili ukiwemo wa Marekani ambaye aliingia nchini Iran kwa ajili ya kufanya ujasusi, ametiwa mbaroni na wizara ya usalama wa taifa ya Iran.

  • Bahram Qassemi: Eneo la Masharki ya Kati halina haja ya kuanzisha muungano dhidi ya nchi fuilani

    Bahram Qassemi: Eneo la Masharki ya Kati halina haja ya kuanzisha muungano dhidi ya nchi fuilani

    Jul 16, 2017 10:42

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, amani na uthabiti wa eneo la Mashariki ya Kati unahitajia ushirikiano wa mataifa yote na hakuna haja ya kuanzishwa muungano dhidi ya nchi fulani.

  • Iran yalaani utawala wa Kizayuni kwa kuufunga Msikiti wa Al Aqsa

    Iran yalaani utawala wa Kizayuni kwa kuufunga Msikiti wa Al Aqsa

    Jul 16, 2017 02:09

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuufunga Msikiti wa Al Aqsa na kuzuia sala ya Ijumaa msikitini hapo na kuonya kuwa, hatua hizo zitakuwa na matokeo hatari sana.

  • Kenya na Iran zaafikiana kutotoza ushuru mara mbili

    Kenya na Iran zaafikiana kutotoza ushuru mara mbili

    Jul 15, 2017 23:46

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kenya zimetiliana saini mapatano ya kutotozana ushuru mara mbili na pia kuzuia watu au mashirika ya nchi mbili kukwepa kulipa ushuru unaotokana na mapato na uwekezaji.

  • Antonio Guterres aipongeza Iran kwa kufungamana kikamilifu na JCPOA

    Antonio Guterres aipongeza Iran kwa kufungamana kikamilifu na JCPOA

    Jul 15, 2017 08:32

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na kufungamana kwake kikamilifu na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Congress ya Marekani yataka kufanyike mazungumzo na Iran

    Congress ya Marekani yataka kufanyike mazungumzo na Iran

    Jul 15, 2017 03:21

    Congress imepasisha mswada ambao unailazimisha Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo yaani Pentagon kutafuta njia za kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kuepuka makabiliano ya kijeshi katika maji ya Ghuba ya Uajemi.

  • Miaka miwili ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani yaendelea kuyakiuka

    Miaka miwili ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani yaendelea kuyakiuka

    Jul 15, 2017 01:43

    Sambamba na kutimu mwaka wa pili tangu Iran na nchi wanachama wa kundi la 5+1 zilipotia saini makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza tena udharura wa Marekani kuheshimu na kutekeleza makubaliano hayo na kusema kuwa, JCPOA ni makubaliano ya kimataifa.

  • Marekani ina ndoto ya kijinga ya kuuangusha mfumo wa Kiislamu Iran

    Marekani ina ndoto ya kijinga ya kuuangusha mfumo wa Kiislamu Iran

    Jul 14, 2017 03:18

    Kamanda wa ngazi za juu nchini Iran amepuuzilia mbali matamshi ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani aliyasema Washington inataka kuuangusha mfumo wa Kiislamu wa Iran na kusema hiyo ni 'ndoto ya kijinga'.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS