-
Brigedia Jenerali Ashtari: Lengo kuu la magaidi ni kuingia Iran
Jul 13, 2017 10:40Kamanda wa polisi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo kuu la magaidi ni kuingia Iran kupitia njia mbalimbali na kwamba polisi humu nchini wanapaswa kuwa tayari kukabiliana na magaidi kwa kupokea taarifa za kiitelijensia katika maeneo ya mipakani.
-
Rohani: Taifa la Iran litayashinda madola ya kibeberu
Jul 11, 2017 11:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeonesha kuopitia uwezo wake, umoja na udiplomsia wake kuwa litashinda njama za madola makubwa ya kibeberu duniani.
-
Kijana wa Iran ashinda tuzo ya mvumbuzi bora wa dunia mwaka 2017
Jul 11, 2017 03:47Khalil Nazari, mvumbuzi na mtafiti wa Kiirani amefanikiwa kushinda tuzo maalumu na medali ya fakhari ya mashindano makubwa ya uvumbuzi ya INPEX nchini Marekani.
-
Iran kushirikiana zaidi na Polisi ya Kimataifa, Interpol
Jul 10, 2017 22:39Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Iran amesema nchi za Ulaya na Marekani zinadai kupambana na ugaidi lakini hazichukui hatua za kutosha katika kukabiliana na makundi ya kigaidi.
-
Nchi za Kiislamu zatakiwa kushirikiana kimataifa
Jul 10, 2017 09:23Mwenyekiti wa Kundi la Urafiki la Mabunge ya Iran na Niger katika Bunge la Iran amesema kuna haja kwa nchi za Kiislamu kushirikiana katika uga wa kimataifa ili kuwa na taathira katika maamuzi muhimu kwa maslahi ya nchi za Kiislamu.
-
HAMAS: Iran inaendelea kuunga mkono mapambano ya Palestina
Jul 09, 2017 03:09Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kuunga mkono mapambano ya wananchi wa Palestina na hakuna wakati ambao Tehran ilisitisha himaya na uungaji mkono wake huo.
-
Iran yaunga mkono kikamilifu mkataba wa UN wa kupiga marufuku uundwaji silaha za nyuklia
Jul 07, 2017 23:16Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA, amesema Iran ambayo ni muathirika wa silaha za maangamizi ya umati, inaunga mkono kikamilifu mkataba mpya wa Umoja wa Mataifa kuhusu kupigwa marufuku silaha za nyuklia.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi Sinai, yataka dunia kushirikiana zaidi
Jul 07, 2017 22:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililofanyika jana katika eneo la Sinai nchini Misri na kuua makumi ya watu.
-
Hamaki za Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia baada ya kukwama siasa zao dhidi ya Qatar
Jul 07, 2017 01:33Adil al Jubeir, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia ameshindwa kuzuia hamaki zake baada ya Qatar kukataa masharti ya nchi nne za Saudi Arabia, Bahrain, Misri na Imarati na amedai mbele ya waandishi wa habari mjini Cairo Misri kwamba eti uuganji mkono wa Iran kwa Qatar ni kuunga mkono ugaidi.
-
IRGC: Uwezo Jeshi la Iran ni kwa ajili ya amani, usalama
Jul 05, 2017 23:36Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limesema linalenga kueneza amani katika kanda ya Mashaiki ya Kati na kusisitiza kuwa, uwezo wa kujihami wa Iran ni kwa ajili ya kuimarisha na kujidhaminia usalama.