-
Iran: Kamwe hatutoacha kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina
Jul 05, 2017 03:46Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) anayehusika na masuala ya kimataifa alisema jana kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitaacha kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman wazidi kuimarika
Jul 05, 2017 03:43Naibu wa Mkuu wa Shirika la Ustawi wa Kibiashara la Iran anayehusika na masuala ya Kiarabu na Kiafrika amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara baina ya Tehran na Muscat Oman umeimarika sana katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
HAMAS: Uhusiano wetu na Iran ni imara
Jul 05, 2017 03:41Kiongozi mmoja muhimu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa harakati hiyo daima itaendelea kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa misaada yake kwa taifa la Palestina bila ya kutarajia malipo yoyote kutoka kwao.
-
Hashdu sh-Sha'abi: Magaidi wa Kiwahabi na Saudia hawana lengo jingine ghairi ya kuitumikia Israel
Jul 04, 2017 03:30Naibu Kamanda Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, amesema kuwa makundi ya kigaidi na waungaji wake mkono ikiwemo Marekani na Saudia, hawana malengo mengine ghairi ya kuutumikia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Zarif: Iran haitasahau jinai ya Marekani ya kutungua ndege ya abiria
Jul 03, 2017 23:06Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran kamwe haitasahau jinai ya Marekani ya kutungua ndege yake ya abiria katika Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yalaani hatua ya Marekani kutungua ndege yake ya abiria mwaka 1988
Jul 03, 2017 02:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani kitendo kilicho dhidi ya ubinadamu cha meli ya kivita ya Marekani kuitungua ndege ya abiria ya Iran Air Julai 3 mwaka 1988 na kuongeza kuwa Marekani inapaswa kuwajibika kuhusu jinai yake hiyo.
-
Zarif: Iran inapinga silaha za aina yoyote za kemikali
Jul 02, 2017 10:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa moja ya misingi mikuu ya Iran ni kupinga kikamilifu kuzalisha na kutumia silaha za aina yoyote za kemikali.
-
Rais Nkurunziza wa Burundi apokea vitambulisho vya balozi mpya wa Iran
Jul 01, 2017 23:44Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi amepokea vitmabulisho vya Murtadha Murtadhawi, Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye si mkazi.
-
Ongezeko la bidhaa za Iran zinazouzwa Somalia
Jul 01, 2017 12:24Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la bidhaa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zinazouzwa nchini Somalia.
-
Iran kamwe haitalegeza msimamo mbele ya Marekani na maadui wengine
Jul 01, 2017 09:03Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitalegeza msimamo mbele ya maadui na kwamba nchi hii itatoa jibu kali kwa vitisho vyovyote vile.