-
Iran: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hayatafanyiwa mabadiliko yoyote
Jun 30, 2017 23:34Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA hayatofanyiwa marekebisho yoyote yale.
-
Mtazamo mzuri wa Baraza la Usalama kuhusu JCPOA licha ya uchochezi wa Marekani
Jun 30, 2017 21:47Ripoti ya tatu ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na mapatano ya nyuklia ya Iran na nchi sita kuu za dunia katika Baraza la Usalama imewasilishwa katika kalibu ya azimio 2231 ambapo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imethibitishwa kutekeleza ahadi zake zote katika uwanja huo.
-
Iran yalaani uamuzi wa Mahakama Kuu ya Marekani dhidi ya Waislamu
Jun 27, 2017 22:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Marekani dhidi ya Waislamu na kusema kuwa, kutokana na mitazamo yake finyu ya kibiashara, Washington imefumbia jicho wasababishaji halisi wa ugaidi nchini Marekani na kutoa ujumbe usiofaa.
-
Iran: Njama mpya za Marekani dhidi ya Syria ni kwa manufaa ya magaidi
Jun 27, 2017 11:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kitendo cha Marekani cha kuzusha vurugu mpya nchini Syria kwa kutegemea madai ya uongo, si kwa faida ya yeyote isipokuwa magaidi wa ISIS.
-
Amani ya kudumu hupatikana kwa ushirikiano si kwa misimamo ya Kidaesh
Jun 27, 2017 08:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, eneo la Ghuba ya Uajemi limekumbwa na matatizo mawili makuu ya kimuundo na kutojitambua. Amesema, baadhi ya nchi za eneo hili zinaona usalama wao utapatikana kwa kununua amani kutoka nje wakati ambapo usalama wa kweli unaweza kupatikana tu kwa ushirikiano wa kieneo na kupitia nchi zenyewe za eneo hili.
-
Iran yataka mashindano ya silaha Mashariki ya Kati yakomeshwe
Jun 27, 2017 03:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema kuna haja ya kuwepo jukwaa la kustawisha mazungumzo baina ya nchi za Ghuba ya Uajemi huku akitoa wito kwa nchi za eneo hili kukomesha mashindano yao ya silaha.
-
Kiongozi Muadhamu: Matukio ya Yemen na Bahrain ni jeraha kubwa kwa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 26, 2017 03:44Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, matukio yanayojiri nchini Yemen na Bahrain ni jeraha kubwa linaoukabili umma wa Kiislamu na ameutaka ulimwengu wa Kiislamu kulisaidia kwa hali na mali taifa ya Yemen.
-
Walid Jumblatt: Nchi za Kiarabu zinapaswa kuongea na Iran ili kupatikane usalama
Jun 26, 2017 03:36Mkuu wa chama cha Kisosholisti cha wafuasi wa dini ya Druze nchini Lebanon, Walid Jumblatt amesema kuwa, mazungumzo ya nchi za Kiarabu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kutatua matatizo ya neo la Mashariki ya Kati na kujiepusha na siasa za uhasama zinazochochewa na Marekani, ndiyo njia pekee ya kurejesha usalama na amani katika eneo hili.
-
Rais wa Iran asisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika maendeleo ya jamii
Jun 25, 2017 03:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika ustawi na maendeleo ya jamii sambamba na kusukuma mbele gurudumu la malengo ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Uwezo wa kijeshi wa Iran ni wa kuridhisha
Jun 25, 2017 03:17Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh, Kamanda wa Jeshi la Anga za Karibu na Mbali la Walinzi wa Mapinduzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, SEPAH, amesema kuwa uwezo wa kijeshi wa hivi sasa wa Iran hauwezi kulinganishwa hata kidogo na wa kipindi cha vita vya miaka minene vya kujitetea kutakatifu na kuongeza kuwa hali hiyo ya kijeshi ni ya kuridhisha.