-
Kuaminiana pande mbili; sharti la kufanikiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran na Magharibi
Jun 24, 2017 23:28Ali Akbar Salehi Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran ameandika katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la The Guardian la nchini Uingereza kwamba, kufanikiwa makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi za Magharibi kunategemea ushirikiano na kiwango cha kuaminiana kati ya pande hizo na kwamba si kupitia siasa za kuvuruga mambo zinazofuatiliwa hivi sasa.
-
Iran yalaani njama za mashambulio ya kigaidi dhidi ya Msikiti wa Makkah
Jun 24, 2017 09:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amelaani vikali njama chafu za kutekeleza mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Msikiti wa Makkah na kuwataka Waislamu kuwa macho na kufanya juhudi kubwa za kupambana na ugaidi.
-
Siku ya Quds, dhihirisho la uwezo mkubwa wa Uislamu dhidi ya njama za Kizayuni
Jun 23, 2017 23:39Siku ya Kimataifa ya mwaka huu imekuwa na umuhimu maalum kwa sababu mfumo wa ubeberu unaoongozwa na Marekani kwa ushirikiano wa baadhi ya nchi za kidikteta za Kiarabu na utawala ghasibu wa Israel umekuwa ukijaribu sana kulisahaulisha suala la Palestina na Quds Tukufu katika ngazi za kieneo na kimataifa.
-
Ujumbe wa mahudhurio ya mamilioni ya Wairani katika maandamano ya Siku ya Quds
Jun 23, 2017 09:31Maandamano ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Quds yamefanyika katika hali tata zaidi ya matukio muhimu katika eneo la mashariki mwa Asia, ambapo mamilioni ya wananchi wa Iran katika pembe zote za nchi wameshiriki kwa hamasa katika maandamano hayo.
-
Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yaanza kote Iran
Jun 23, 2017 03:27Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yameanza leo kote nchini Iran kwa kaulimbiu ya "Siku ya Kimataifa ya Quds; Nembo ya Umoja na Jihadi ya Umma wa Kiislamu, Uungajimkono kwa Wananchi Madhlumu wa Palestina na Kuangamizwa Utawala wa Kizayuni".
-
UN yaipongeza Iran kwa kutoa huduma ziada kwa wakimbizi
Jun 21, 2017 23:12Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi UNHCR limeipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kutoa huduma ziada kwa wakimbizi.
-
Kiongozi: Kupambana na utawala wa Kizayuni ni kupambana na ubeberu na uistikbari
Jun 21, 2017 23:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa yenye umuhimu mkubwa na kuongeza kuwa: "Siku hii mbali na kuwa ni siku ya kuunga mkono taifa lililodhulumiwa pia ni nembo ya kupambana na uistikbari na ubeberu duniani."
-
Rouhani: Ugaidi eneo la Mashariki ya Kati ni sehemu ya ajenda ya Israel
Jun 21, 2017 03:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema operesheni na harakati za kigaidi zinazoshuhudiwa katika eneo hili la Mashariki ya Kati ni sehemu ya ajenda ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa lengo la kuwashughulisha watu ili wasahau kadhia muhimu ya Palestina.
-
Iran kuendelea kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika
Jun 21, 2017 03:00Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kuwa, ni katika sera zilizo madhubuti za nchi hii kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika.
-
Iran itatoa jibu kali kwa magaidi wanaopania kufanya mashambulizi nchini
Jun 20, 2017 23:34Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatoa jibu kali zaidi kwa magenge ya kigaidi yatakayojaribu kuleta chokochoko na kufanya mashambulizi ndani ya ardhi ya nchi hii.