Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Helikopta ya Jeshi la Wanamaji la Iran yaitimua manowari ya US katika Bahari ya Oman

    Helikopta ya Jeshi la Wanamaji la Iran yaitimua manowari ya US katika Bahari ya Oman

    Jul 24, 2025 03:25

    Helikopta ya Jeshi la Wanamaji la Iran imeitimua manowari ya mashambulizi ya Marekani iitwayo USS Fitzgerald katika Bahari ya Oman, kwa kutoa ishara za onyo na hatimaye kuilazimisha ibadili mkondo wake kuelekea upande wa kusini wa eneo hilo.

  • Iran yaalani ukatili mkubwa wa sera ya njaa na mauaji ya Israel dhidi ya wakazi wa Gaza

    Iran yaalani ukatili mkubwa wa sera ya njaa na mauaji ya Israel dhidi ya wakazi wa Gaza

    Jul 23, 2025 07:37

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani " ukatili mkubwa" unaofanywa na utawala ghasibu wa Israel, na kulaani sera ya njaa na mauaji ya utawala huo dhidi ya Wapalestina wanaotafuta misaada huko Gaza.

  • Rais Pezeshkian: Ziitwazo ‘haki za binadamu’ na ‘asasi za kimataifa’ si chochote ila ni uwongo tu

    Rais Pezeshkian: Ziitwazo ‘haki za binadamu’ na ‘asasi za kimataifa’ si chochote ila ni uwongo tu

    Jul 22, 2025 10:25

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, zinazoitwa haki za binadamu na asasi za kimataifa si chochote zaidi ya uwongo tu na akabainisha kwamba, katika dunia ya leo iliyostaarabika na mbele ya macho ya watu wote, wanawakatia maji na chakula watu wanyonge, wanawake na watoto na kufanya mauaji ya kimbari; kisha wanazungumzia haki za binadamu, huku wao wenyewe wakiwa wamekiuka vipimo vyote vya kimataifa na haki za binadamu na kufanya jinai dhidi ya ubinadamu kila mahali dunian

  • Iran, Uturuki: Ulimwengu wa Kiislamu uchukue hatua dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Iran, Uturuki: Ulimwengu wa Kiislamu uchukue hatua dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Jul 22, 2025 07:36

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Uturuki wametoa wito kwa mataifa ya Kiislamu duniani kuchukua hatua kali za kusaidia kukomesha vita vya miezi 21 vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala wa kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Iran yatilia shaka 'hadhi' ya Tuzo ya Nobel baada ya Trump 'kuteuliwa'

    Iran yatilia shaka 'hadhi' ya Tuzo ya Nobel baada ya Trump 'kuteuliwa'

    Jul 22, 2025 03:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baqaei ametilia shaka itibari na uhalisi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, akisema tuzo hiyo yenye heshima kubwa zaidi ya amani duniani, imegeuzwa na kuwa chombo cha kisiasa badala ya kuwa nembo ya amani kwa wote.

  • Mamluki wengine wawili wa Mossad watiwa nguvuni kaskazini mashariki mwa Iran

    Mamluki wengine wawili wa Mossad watiwa nguvuni kaskazini mashariki mwa Iran

    Jul 22, 2025 01:01

    Askari usalama wa Iran wamewatia nguvuni magaidi wawili wa Shirika la Ujasusi la Israel (MOSSAD) katika mkoa wa kaskazini mashariki wa Khorasan ya Kaskazini, unaopatikana kaskazini mashariki mwa nchi.

  • Iran: Hatutaachana na haki yetu ya kurutubisha urani

    Iran: Hatutaachana na haki yetu ya kurutubisha urani

    Jul 22, 2025 00:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haina nia ya kuachana na mpango wake wa nyuklia, ikiwemo kurutubisha madini ya urani, licha ya uvamizi wa kijeshi wa mwezi uliopita wa Marekani na mutifaki wake wa kieneo, Israel.

  • Araqchi: Ufaransa, Ujerumani na Uingereza hazina mamlaka ya kuhuisha

    Araqchi: Ufaransa, Ujerumani na Uingereza hazina mamlaka ya kuhuisha "Snapback Mechanism"

    Jul 21, 2025 10:14

    Iran imesema kuwa Ufaransa, Ujerumani na Uingereza hazina hadhi ya kisheria, kisiasa wala ya kimaadili ya kuhuisha utekelezaji wa kile kinachojulikana kama Snapback Mechanism ya makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015. Snapback Mechanism ni utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran.

  • Baqaei: Iran inaunga mkono kuimarisha uhusiano wa kikanda

    Baqaei: Iran inaunga mkono kuimarisha uhusiano wa kikanda

    Jul 21, 2025 10:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema leo katika mkutano na waandishi wa habari wa kila wiki hapa Tehran kwamba: Tehran inaunga mkono kukuza uhusiano na nchi za kanda hii, lakini wakati huo huo, imekuwa ikisisitiza kuwa kuanzishwa vivuko na njia mbalimbali hakupasi kuathiri mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi nzima ya Iran.

  • Iran na Russia zafanya maneva ya pamoja ya utafutaji na uokoaji katika Bahari ya Kaspi

    Iran na Russia zafanya maneva ya pamoja ya utafutaji na uokoaji katika Bahari ya Kaspi

    Jul 21, 2025 09:53

    Iran na Russia zimekutanisha pamoja vikosi vyao vya wanamaji kwa ajili ya maneva ya kijeshi ya CASAREX 2025, zoezi kubwa la pamoja la utafutaji na uokoaji katika Bahari ya Kaspi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS