Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Afrika Kusini kugeukia Russia, Iran kwenye mradi wake wa nyuklia?

    Afrika Kusini kugeukia Russia, Iran kwenye mradi wake wa nyuklia?

    Feb 18, 2025 04:02

    Afrika Kusini imesema huenda itashirikiana na Russia au Iran katika juhudi za kupanua uwezo wake wa nishati ya nyuklia.

  • Tehran: Maajenti wa mauaji wanaituhumu Iran kukiuka haki

    Tehran: Maajenti wa mauaji wanaituhumu Iran kukiuka haki

    Feb 18, 2025 04:01

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inatuhumiwa kukiuka haki za binadamu na pande ambazo zinasababisha vifo na uharibifu katika pembe mbali mbali za dunia.

  • Mwanafunzi wa Iran ashinda 'Tuzo ya Mtafiti Kijana wa Mwaka' ya BRICS na SCO

    Mwanafunzi wa Iran ashinda 'Tuzo ya Mtafiti Kijana wa Mwaka' ya BRICS na SCO

    Feb 16, 2025 23:41

    Hosna Salimi, mwanafunzi wa Kiirani wa Kitivo cha Taaluma za Dunia (FWS) cha Chuo Kikuu cha Tehran ameshinda Tuzo ya 'Mtafiti Kijana Bora wa Mwaka' katika taasisi ya BRICS na Tuzo ya Viongozi Vijana ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) kwa mwaka 2025 kutokana na kazi bora aliyofanya katika sayansi na utafiti.

  • Araqchi: Pwani ya Iran ni lango la kuunganisha uchumi wa dunia

    Araqchi: Pwani ya Iran ni lango la kuunganisha uchumi wa dunia

    Feb 16, 2025 10:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa pwani ya Iran ni njia ya kuunganisha uchumi wa dunia.

  • Kamanda Pourdastan: Iran itaimarisha uwezo wake wa kiulinzi sambamba na vitisho

    Kamanda Pourdastan: Iran itaimarisha uwezo wake wa kiulinzi sambamba na vitisho

    Feb 16, 2025 04:08

    Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Iran amesema kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hii vimejitolea kukuza uwezo wa kiulinzi kulingana na vitisho vinavyoibuka dhidi ya taifa.

  • Mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi jirani yaongezeka

    Mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi jirani yaongezeka

    Feb 15, 2025 22:56

    Mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi jirani yanaonekana kuongezeka katika miezi michache ya hivi karibuni.

  • Iran yaonya baada ya Israel kutishia kushambulia ndege yake ya abiria

    Iran yaonya baada ya Israel kutishia kushambulia ndege yake ya abiria

    Feb 15, 2025 03:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei ameukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutishia kushambulia ndege ya abiria ya Iran iliyokuwa imebeba raia wa Lebanon.

  • Iran yataka kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi wa

    Iran yataka kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi wa "D-8"

    Feb 14, 2025 04:37

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran anayeshughulikia diplomasia ya uchumi amesisitiza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya wanachama wa Jumuiya ya Nchi Nane Zinazostawi za Kiislamu (D-8).

  • Iran yapongeza hatua ya Afrika Kusini ya kuishtaki Israel ICJ

    Iran yapongeza hatua ya Afrika Kusini ya kuishtaki Israel ICJ

    Feb 13, 2025 23:03

    Mansour Shakib Mehr, balozi wa Iran nchini Afrika Kusini amepongeza hatua ya serikali ya Pretoria ya kuwasilisha mashtaka dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kutokana na jinai za utawala huo ghasibu huko Gaza.

  • Iran yazindua meli mpya zilizoundwa na wazawa kwa ajili ya ulinzi wa pwani

    Iran yazindua meli mpya zilizoundwa na wazawa kwa ajili ya ulinzi wa pwani

    Feb 13, 2025 07:51

    Iran imezindua meli 10 za walinzi wa pwani na meli za uongozaji wakati wa ziara ya Rais Masoud Pezeshkian katika mji wa bandari wa Ghuba ya Uajemi wa Bushehr hapa nchini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS