Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Rais Raisi aanza safari za kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe

    Rais Raisi aanza safari za kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe

    Jul 11, 2023 23:40

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe.

  • Wanadiplomasia: Iran na Misri zimefikia hatua nzuri ya kukurubisha mitazamo yao na kurejesha uhusiano

    Wanadiplomasia: Iran na Misri zimefikia hatua nzuri ya kukurubisha mitazamo yao na kurejesha uhusiano

    Jul 11, 2023 05:30

    Tovuti ya habari ya Al-Arabi Al-Jadeed leo Jumanne imewanukuu wanadiplomasia wa Misri wakisema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri zimefikia hatua nzuri ya kukurubisha pamoja mitazamo yao hususan katika masuala yanayohusiana na maeneo yao.

  • Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika

    Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika

    Jul 11, 2023 04:50

    Magazeti na vyombo vingine vya habari vya nchi za Afrika Mashariki vimeakisi kwa mapana safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye leo Jumanne anatazamiwa kuondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe.

  • Safari ya Rais wa Iran huko Kenya, Uganda na Zimbabwe inalenga kuimarisha uhusiano na Afrika

    Safari ya Rais wa Iran huko Kenya, Uganda na Zimbabwe inalenga kuimarisha uhusiano na Afrika

    Jul 11, 2023 01:10

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ziara ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran katika nchi tatu za Kenya, Uganda na Zimbabwe ni muendelezo wa sera za serikali za kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika.

  • Safari ya kwanza ya Rais wa Iran barani Afrika baada ya miaka 11

    Safari ya kwanza ya Rais wa Iran barani Afrika baada ya miaka 11

    Jul 10, 2023 22:56

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumanne ya leo ameondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe.

  • Rais wa Iran kutembelea nchi kadhaa za Afrika, lengo ni kuimarisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi

    Rais wa Iran kutembelea nchi kadhaa za Afrika, lengo ni kuimarisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi

    Jul 09, 2023 04:47

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, anatazamiwa kuanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu barani Afrika katika fremu ya sera za Jamhuri ya Kiislamu za kupanua uhusiano na nchi marafiki.

  • Raisi: Uhusiano wa Iran na Algeria unaweza kupanuliwa katika nyanja za biashara na uchumi

    Raisi: Uhusiano wa Iran na Algeria unaweza kupanuliwa katika nyanja za biashara na uchumi

    Jul 09, 2023 02:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja uhusiano kati ya Iran na Algeria kuwa ni baina ya nchi mbili rafiki, wa kidugu na Kiislamu, ambao unaweza kupanuliwa kwa kuzingatia misimamo ya kieneo na kimataifa ya pande mbili katika nyuga mbalimbali zikiwemo nyanja za kibiashara na kiuchumi.

  • Iran na Sudan kufufua uhusiano wao wa kidiplomasia karibuni

    Iran na Sudan kufufua uhusiano wao wa kidiplomasia karibuni

    Jul 06, 2023 23:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Sudan kwa mara ya kwanza baada ya miaka saba, ambapo wamekubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia wa nchio mbili hizi karibuni hivi.

  • Rais wa Iran aalikwa kuhudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini

    Rais wa Iran aalikwa kuhudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini

    Jul 04, 2023 03:54

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amealikwa rasmi kuhudhuria mkutano ujao wa kundi la BRICS utakaofanyika nchini Afrika Kusini.

  • Balozi wa Kenya Iran atembelea

    Balozi wa Kenya Iran atembelea "Bustani ya Makumbusho ya Naderi" mjini Mashhad

    Jul 03, 2023 09:33

    Balozi wa Kenya nchini Iran ametembelea Jumba la Bustani ya Makumbusho ya Naderi lililoko mjini Mashhad, Mkoa wa Khorasan Razavi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS