-
"Ni wajibu kwa kila Muislamu kupinga vitendo vya Wamagharibi kuidhalilisha Qurani"
Jul 01, 2023 07:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mataifa ya Waislamu yana wajibu na jukumu la kulaani na kupinga vitendo vya nchi za Magharibi vya kuvunja heshima matukufu ya Kiislamu, hususan Qurani Tukufu.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi la Uganda lililoua zaidi ya watu 40
Jun 18, 2023 22:45Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi nchini Uganda lililouwa makumi ya wanafunzi katika shule moja ya sekondari Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Iran na Afrika Kusini zatilia mkazo kustawisha uhusiano baina yao katika nyanja zote
Jun 01, 2023 22:43Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamekutana pambizoni mwa kikao cha kundi la BRICS na kutilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.
-
Wanasiasa wa Misri wakaribisha kustawishwa uhusiano wa Tehran na Cairo
May 31, 2023 03:23Wanasiasa na viongozi wa Misri wamekaribisha kwa mikono miwili juhudi za kuhuishwa na kurejeshwa uhusiano wa Iran na Misri.
-
Iran: Tupo tayari kuisaidia Mali kukabiliana na ugaidi
May 30, 2023 05:59Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kuipa Mali uzoefu ilionao katika kukabiliana na ugaidi.
-
Iran yaipongeza Afrika kwa maadhimisho ya miaka 60 ya AU
May 26, 2023 06:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameyapongeza mataifa ya Afrika kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 60 ya kuundwa Umoja wa Afrika.
-
Utawala wa Kizayuni wa Israel wazidi kuishinikiza Misri isiwe na uhusiano mzuri na Iran
May 19, 2023 01:56Gazeti moja la Kizayuni limeripoti kuwa, utawala wa Tel Aviv unafanya juu chini kujaribu kuzuia kuimarika uhusiano wa Misrii na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yaendelea kusisitizia uhusiano mzuri na nchi za bara la Afrika
May 09, 2023 00:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Burkina Faso wamekutana na kujadiliana njia mbalimbali za kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika nyuga tofauti.
-
Iran yatuma salamu za rambirambi baada ya karibu watu 400 kufa kwa mafuriko DRC
May 07, 2023 23:53Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi na mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya watu karibu 400 kufariki dunia kwa janga la mafuriko.
-
Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika kupundukia dola bilioni 2
Apr 24, 2023 10:44Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametabiri kuwa kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika kitafika zaidi ya dola bilioni mbili.