Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Iran yapongeza misimamo ya Mauritania ya kuunga mkono taifa la Palestina

    Iran yapongeza misimamo ya Mauritania ya kuunga mkono taifa la Palestina

    Apr 05, 2023 03:38

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza na kusifu misimamo ya serikali na wananchi wa Mauritania ya kuunga mkono malengo matukufu ya wananchi wa Palestina.

  • Utafiti: Waswahili wana asili ya Kiajemi; nusu ya mababu zao ni Wairani

    Utafiti: Waswahili wana asili ya Kiajemi; nusu ya mababu zao ni Wairani

    Apr 01, 2023 03:28

    Utafiti wa chembe chembe za vinasaba unaonyesha kuwa, Waswahili wa Ukanda wa Pwani Afrika Mashariki wana asili ya Iran.

  • Mapitio ya mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi

    Mapitio ya mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi

    Mar 07, 2023 07:58

    Katika siku ya kwanza ya mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi kumetiwa saini hati 20 za ushirikiano katika nyuga tofauti zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kibiashara na kiutalii.

  • Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi

    Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi

    Mar 07, 2023 04:16

    Maafisa wa ngazi za juu wa Iran wamesema kupanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni moja ya sera kuu za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu.

  • Makamu wa Rais wa Iran: Kutanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni sera kuu ya Iran

    Makamu wa Rais wa Iran: Kutanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni sera kuu ya Iran

    Feb 28, 2023 04:05

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amekutaja kupanua uhusiano na maingiliano na nchi za Kiafrika hususan Zimbabwe kuwa ni moja ya njia kuu za sera za kigeni za Iran.

  • Kuwasili nchini Iran ujumbe wa kiuchumi wa Senegal

    Kuwasili nchini Iran ujumbe wa kiuchumi wa Senegal

    Feb 23, 2023 04:07

    Ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi wa Senegal ukiongozwa na mshauri mkuu wa rais na mkuu wa chama cha wafanyakazi cha nchi hiyo umeasili mjini Tehran.

  • Mshauri mkuu wa Rais wa Senegal anawasili Tehran leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake

    Mshauri mkuu wa Rais wa Senegal anawasili Tehran leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake

    Feb 21, 2023 23:43

    Kaimu wa Mkuu wa Klabu ya Biashara ya Iran na Afrika amesema kuwa, ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi wa Senegal ukiongozwa na mshauri mkuu wa rais na mkuu wa muungano wa wafanyabiashara wa nchi hiyo unawasili mjini Tehran leo kwa ajili ya kuimaimarisha ushirikiano wa kiuchumi wa pande mbili.

  • Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Guinea unazidi kuimarika

    Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Guinea unazidi kuimarika

    Feb 09, 2023 08:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Guinea ni mzuri, wa kirafiki, wa kihistoria na unaoendelea kuimarika.

  • Raisi: Uhusiano wa Iran na Zimbabwe ni wa kirafiki

    Raisi: Uhusiano wa Iran na Zimbabwe ni wa kirafiki

    Feb 07, 2023 11:48

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu, amesema uhusiano wa Iran na Zimbabwe baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu daima umekuwa wa kirafiki na unaendelea kuimarika.

  • Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Zimbabwe

    Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Zimbabwe

    Feb 05, 2023 23:13

    Kikao cha tisa cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Zimbabwe kimefanyika hapa mjini Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS