-
Abdollahian: Iran inasaidia kupatikana amani na uthabiti barani Afrika
Feb 01, 2023 04:06Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran ipo mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi na inasadia kupatikana amani na uthabiti barani Afrika.
-
Spika wa Bunge la Algeria: Tunataka kuimarisha uhusiano na Iran
Jan 29, 2023 09:52Spika wa Bunge la Algeria amesema: Tunajivunia mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga mbalimbali na tunataka kuimarisha uhusiano kati ya mataifa yetu mawili.
-
Qalibaf: Afrika ni mojawapo ya fursa muhimu za kiuchumi kwa Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 29, 2023 04:05Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kabla ya kuondoka Tehran kuelekea ziarani nchini Algeria kwa lengo la kushiriki katika mkutano wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwa: Afrika katika mazingira ya sasa ni moja ya fursa muhimu za kiuchumi na kiutamaduni kwa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Iran na Tanzania zahimiza ushirikiano zaidi baina yao hasa katika uwekezaji viwandani
Jan 27, 2023 03:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tuko tayari kutoa ujuzi na uzoefu wetu, hasa katika nyanja za elimu, kilimo, uvuvi, ujenzi wa mabwawa, usimamizi wa vyanzo vya maji na kilimo umwagiliaji, ili kuisaidia Tanzania katika juhudi zake za mapinduzi ya viwanda.
-
Gharibabadi: Magharibi inatumia suala la wanawake kuzishinikiza nchi huru
Jan 26, 2023 23:17Afisa wa ngazi ya juu wa haki za binadamu nchini Iran amesema nchi za Magharibi zinatumia suala la wanawake kuziweka chini ya mashinikizo nchi huru duniani.
-
Abdollahian asisitiza azma ya Iran ya kuimarisha ushirikiano na bara la Afrika
Jan 23, 2023 03:50Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya azma ya Tehran ya kukuza na kustawisha zaidi ushirikiano wake na mataifa ya Kiafrika.
-
Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)
Jan 09, 2023 07:20Tehran karibuni hivi inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS).
-
Rais Ebrahim Raisi: Wamagharibi waliingia Afrika kwa ajili ya kukoloni na kupora utajiri wa Waafrika
Jan 09, 2023 00:46Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madola ya Magharibi yaliingia barani Afrika kwa ajili ya kukoloni na kupora maliasili na utajiri wa Waafrika.
-
Hauli ya Haj Qassem yafanyika Nigeria kwa maandamano na kuchomwa moto bendera ya Marekani
Jan 04, 2023 00:54Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika hauli na kumbukumbu ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kuchoma moto bendera ya Marekani.
-
Zakzaky: Ni wajibu kwa Waislamu wote huru kuendeleza njia ya shahidi Soleimani
Jan 03, 2023 07:39Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesisitiza kuwa, vijana wa kambi ya muqawama wanapaswa kusimama imara kukabiliana na madola ya kiistikbari kama ambavyo pia amewataka Waislamu kutumia njia zote zinazowezekana, kuhakikisha fikra za shahidi Qassem Soleimani zinabakia hai.