Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Marekani

  • Kamanda Mkuu atoa onyo kali: Moto wa vita vyovyote vipya dhidi ya Iran, utamwakia kila mtu

    Kamanda Mkuu atoa onyo kali: Moto wa vita vyovyote vipya dhidi ya Iran, utamwakia kila mtu

    Oct 05, 2026 11:39

    Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Meja Jenerali Ali Abdollahi, ameonya kuwa vita vyovyote vipya vitakavyoanzishwa dhidi ya Iran vitakuwa na madhara makubwa kwa pande zote na "moto wake utamwakia kila mtu".

  • SEPAH: Marekani haina tena uwezo wa kuendesha vita kama zamani

    SEPAH: Marekani haina tena uwezo wa kuendesha vita kama zamani

    Oct 01, 2026 03:31

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzui ya Kiislamu SEPAH amezungumzia hali ya wanajeshi wa Marekani katika eneo hili na kusema kuwa, Marekani hivi sasa haina tena ile hali iliyokuwa nayo kabla ya kuanzisha vita viwili dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kwa nini dunia inachoma bendera yenu?”: Msemaji wa SEPAH awataka Wamarekani kujiuliza kuhusu sera za Marekani

    Kwa nini dunia inachoma bendera yenu?”: Msemaji wa SEPAH awataka Wamarekani kujiuliza kuhusu sera za Marekani

    Sep 30, 2026 03:19

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAh limewataka Wamarekani kujiuliza kwa nini bendera ya nchi yao inachomwa moto au kukanyagwa katika maeneo mbalimbali duniani, likisema kuwa miongo kadhaa ya vita vya Marekani na uungaji mkono wake kwa Israel vimechochea chuki na uhasama mkubwa dhidi ya Washington katika maeneo yote duniani.

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Iran haitarudi tena kamwe kwenye zile zama anazozitamani adui

    Kiongozi wa Mapinduzi: Iran haitarudi tena kamwe kwenye zile zama anazozitamani adui

    Sep 28, 2026 15:30

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema, siku za kutawaliwa na madola ajinabi, ambazo maadui wa Iran wanapigania kuzirejesha, zimeshapita na hazitarudi tena kamwe.

  • Wizara ya Ulinzi: Miundombinu ya ulinzi ya Iran ya chini ya ardhi inavuruga mahesabu ya adui

    Wizara ya Ulinzi: Miundombinu ya ulinzi ya Iran ya chini ya ardhi inavuruga mahesabu ya adui

    Sep 26, 2026 11:25

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi, Brigedia Jenerali Reza Talaei-Nik, amesema, katika miaka ya hivi karibuni, Iran imesambaza sehemu ya uwezo wa kimkakati wa vikosi vyake vya ulinzi katika maeneo salama na miundombinu ya chini ya ardhi, hatua ambayo imekanganya na kuvuruga mahesabu ya adui."Katika miaka ya hivi karibuni, sehemu ya uwezo wa kimkakati wa vikosi vya ulinzi imewekwa katika maeneo salama na miundombinu ya chini ya ardhi; hatua hii imevuruga mahesabu ya adui kuhusiana na uwezo wa ulinzi wa

  • Spika wa Bunge la Iran: Taifa letu shujaa lilisimama imara dhidi ya adui muovu na mhalifu

    Spika wa Bunge la Iran: Taifa letu shujaa lilisimama imara dhidi ya adui muovu na mhalifu

    Sep 24, 2026 03:45

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili letu shujaa lilisimama imara dhidi ya adui muovu na mhalifu katika vita vyake dhidi ya taifa hili la Kiislamu.

  • Meja Jenerali Safavi: Kikosi chochote cha kigeni kitakachojaribu kutua nchini Iran ‘hakika kitaangamizwa’

    Meja Jenerali Safavi: Kikosi chochote cha kigeni kitakachojaribu kutua nchini Iran ‘hakika kitaangamizwa’

    Sep 24, 2026 03:43

    Mshauri mwandamizi wa kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ameonya kuwa kikosi chochote cha kigeni kitakachojaribu kutia mguu wake katika ardhi ya Iran kwa lengo la kuivamia nchi hii “kitaangamizwa,”.

  • Majeshi ya Iran yaapa kuwa Marekani na Israel zitaonja ladha chungu ya vipigo zaidi

    Majeshi ya Iran yaapa kuwa Marekani na Israel zitaonja ladha chungu ya vipigo zaidi

    Sep 22, 2026 03:31

    Makao Mkuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Makao Mkuu ya Kamandi ya Khatam al-Anbiya ya Majeshi ya Iran yameapa kulinda maslahi ya taifa, haki za wananchi, na uhuru wa ardhi ya nchi hiyo, yakisema kuwa vikosi vya ulinzi vitahakikisha kuwa Marekani, Israel, na washirika wao “wanaonja ladha chungu ya vipigo zaidi.”

  • Siku ya Amani Duniani yagubikwa na vita vilivyoanzishwa na Marekani, Israel

    Siku ya Amani Duniani yagubikwa na vita vilivyoanzishwa na Marekani, Israel

    Sep 22, 2026 03:28

    Siku ya Amani Duniani, ambayo huadhimishwa kila Septemba 21, mwaka huu inakuja wakati ulimwengu ukikabiliwa na mfululizo wa vita na migogoro ya kiusalama inayozidi kuenea, huku Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ikiwa tena katika kitovu cha wasiwasi wa kimataifa.

  • Jenerali Rezaei: Msimamo wa nyuklia wa Iran hauajabadilika, lakini uwezekano wa kujiondoa katika NPT upo

    Jenerali Rezaei: Msimamo wa nyuklia wa Iran hauajabadilika, lakini uwezekano wa kujiondoa katika NPT upo

    Sep 20, 2026 04:34

    Afisa mkuu wa usalama wa Iran amesema kuwa nchi nchi hii inashikamana na sera yake ya kutozalisha silaha za nyuklia, akiongeza kuwa kujiondoa katika Mkataba wa Kutozalisha Silaha za Nyuklia (NPT) kunawezekana kama jibu kwa vitisho vya kijeshi na kisiasa kutoka kwa Marekani na utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS