Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Marekani

  • Rais Rouhani awasili New York kushiriki mkutano wa UN

    Rais Rouhani awasili New York kushiriki mkutano wa UN

    Sep 24, 2018 03:58

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili New York nchini Marekani kwa ajili ya kuhudhuria kutano wa 73 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

  • Ripota maalumu wa UN: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran si halali kisheria

    Ripota maalumu wa UN: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran si halali kisheria

    Aug 21, 2018 09:58

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu na athari hasi za uchukuaji hatua za upande mmoja amesema hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo tena Iran si halali kisheria, ya kidhalimu na ina madhara.

  • London yakataa matakwa ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Iran

    London yakataa matakwa ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Iran

    Aug 17, 2018 02:41

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza imekataa wito wa Marekani wa kujiunga na Washington katika vikwazo vyake vipya dhidi ya Iran.

  • Hata Uingereza yapinga siasa za Trump dhidi ya Iran

    Hata Uingereza yapinga siasa za Trump dhidi ya Iran

    Aug 15, 2018 09:30

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza imesisitiza kuwa London itaendelea kuheshimu ahadi zake katika mapatano ya nyuklia na Iran maarufu kwa jina la JCPOA ni imekataa ombi la Marekani la kushirikiana nayo kuiwekea vikwazo Tehran.

  • Russia yazipongeza nchi za Ulaya kwa kusimama imara kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia yazipongeza nchi za Ulaya kwa kusimama imara kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Aug 08, 2018 10:02

    Maafisa waandamizi wa Russia wamesema kuwa, upinzani wa nchi za Ulaya dhidi ya vikwazo vya Marekani kwa Iran unaonesha namna nchi za bara hilo zilivyo na nia thabiti ya kukabiliana na siasa za kujinufaisha upande mmoja za Washington.

  • Wataalamu 19 wa intelejensia wa Marekani: Nyaraka za Netanyahu dhidi ya Iran, zilikuwa bandia

    Wataalamu 19 wa intelejensia wa Marekani: Nyaraka za Netanyahu dhidi ya Iran, zilikuwa bandia

    Aug 06, 2018 21:50

    Wataalamu 19 miongoni mwa shakhsia wa ngazi ya juu katika uga wa intelejensia nchini Marekani, sambamba na kuonya juu ya kutumiwa nyaraka za utawala wa Kizayuni kuihusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wamesema kuwa nyaraka hizo ni za kubuni.

  • James Dobbins: Chuki ya Wairan kwa Marekani ina mzizi wa kihistoria

    James Dobbins: Chuki ya Wairan kwa Marekani ina mzizi wa kihistoria

    Aug 06, 2018 21:49

    James Dobbins, Afisa wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema kuwa, chuki waliyonayo raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Marekani ni ya kihistoria na inarudi kwenye uungaji mkono na misaada ya Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) kwa utawala wa ukandamizaji wa Shah.

  • Wamarekani wakiri, walitungua ndege ya abiria ya Iran  kwa makusudi

    Wamarekani wakiri, walitungua ndege ya abiria ya Iran kwa makusudi

    Jul 05, 2018 07:30

    Afisa wa zamani wa jeshi la Marekani amekiri kwamba jeshi la nchi hiyo liliitungua kwa makusudi ndege ya abiria ya Iran mwaka 1988 kwa shabaha ya kuichochea Iran na kuiingiza katika vita na Marekani.

  • Zarif: Wamarekani wamechoshwa na udhalimu wa viongozi wao

    Zarif: Wamarekani wamechoshwa na udhalimu wa viongozi wao

    Jun 28, 2018 23:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema wananchi wa Marekani wamechoshwa na ufisadi, udhalimu, ukosefu wa uadilifu na kutostahiki watawala wao.

  • Mwanasiasa wa Russia: Mafanikio ya Iran katika eneo yameikasirisha mno Washington

    Mwanasiasa wa Russia: Mafanikio ya Iran katika eneo yameikasirisha mno Washington

    May 22, 2018 09:31

    Mbunge wa ngazi ya juu katika bunge la Russia (Duma) amesema kuwa, siasa za kujitegemea na nafasi chanya na athirifu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati, zimeifanya Marekani kupatwa na hasira.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS