Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Kuendelea uingiliaji hasi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iraq

    Kuendelea uingiliaji hasi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iraq

    Jan 23, 2023 00:17

    Marekani ingali inaendelea kuingilia masuala ya ndani ya Iraq kwa namna hasi, kwa kuzingatia nyenzo za mashinikizo ilizonazo mikononi mwake.

  • Iran yamuita balozi wa Iraq kulalamikia utumiaji wa neno bandia la Ghuba ya Uajemi

    Iran yamuita balozi wa Iraq kulalamikia utumiaji wa neno bandia la Ghuba ya Uajemi

    Jan 11, 2023 08:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Iraq mjini Tehran, kulalamikia kitendo cha mamlaka za Baghdad kutumia neno bandia la 'Ghuba ya Kiarabu' badala ya 'Ghuba ya Uajemi' katika mashindano ya kandanda ya nchi za Kiarabu, yanayoendelea katika mji bandari wa Basra, kusini mwa Iraq.

  • Njia ya fikra ya Shahidi Qassem Soleimani: Mhimili wa Muqawama na Mapambano

    Njia ya fikra ya Shahidi Qassem Soleimani: Mhimili wa Muqawama na Mapambano

    Jan 03, 2023 05:47

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo, na karibuni kuwa nasi tena katika mfululizo mwingine wa kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa tatu wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani, ambapo katika mfululizo huu wa tatu tutatalii moja ya vipindi maalumu vya maisha ya kamanda huyo.

  • Iran yakaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa Iraq kuhusu mazungumzo  kati ya Tehran na Cairo

    Iran yakaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa Iraq kuhusu mazungumzo kati ya Tehran na Cairo

    Dec 25, 2022 04:09

    Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa Waziri Mkuu wa Iraq alipendekeza katika Mkutano wa Baghdad-2 kuhusu suala la kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Misri kuhusu masuala ya kisiasa na kiusalama.

  • Ujumbe wa UN wakutana na Ayatullah Sistani, unafuatilia jinai za Daesh

    Ujumbe wa UN wakutana na Ayatullah Sistani, unafuatilia jinai za Daesh

    Dec 19, 2022 08:00

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa leo (Jumatatu) umekutana na kufanya mazungumzo na kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Ali Sistani katika mji mtakatifu wa Najaf al Ashraf.

  • Malengo ya safari ya as-Sudani mjini Tehran

    Malengo ya safari ya as-Sudani mjini Tehran

    Dec 01, 2022 00:33

    Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq, aliwasili mjini Tehran Jumanne asubuhi kwa ziara ya siku mbili, na baada ya kukutana na mwenyeji wake Rais Ebrahim Raisi wa Iran, pia alikutana na kuzungumza na Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Waziri Mkuu wa Iraq kufanya ziara Tehran Jumatatu

    Waziri Mkuu wa Iraq kufanya ziara Tehran Jumatatu

    Nov 26, 2022 23:25

    Vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu wa Iraq kesho Jumatatu atafanya ziara hapa mjini Tehran.

  • Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu

    Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu

    Nov 26, 2022 23:00

    Ujerumani, kama mwanachama wa Umoja wa Ulaya, pamoja na Marekani, imechukua mtazamo wa kiadui na kuingilia masuala ya ndani ya Iran wakati wa machafuko na ghasia za hivi karibuni.

  • Kustawisha uhusiano na kutatua hitilafu na majirani; kipaumbele cha sera za nje za serikali mpya ya Iraq

    Kustawisha uhusiano na kutatua hitilafu na majirani; kipaumbele cha sera za nje za serikali mpya ya Iraq

    Nov 26, 2022 08:36

    Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu mpya wa Iraq amefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa kuzitembelea Jordan na Kuwait.

  • IRGC yaongeza wanajeshi katika mpaka wa magharibi wa Iran

    IRGC yaongeza wanajeshi katika mpaka wa magharibi wa Iran

    Nov 25, 2022 23:04

    Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza habari ya kutumwa wanajeshi zaidi katika mipaka ya magharibi na kaskazini magharibi mwa Iran ili kupiga jeki operesheni za kukabiliana na makundi ya kigaidi yanayotaka kujitenga yaliyoko katika eneo la Kurdistan nchini Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS