Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

    Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

    Nov 25, 2022 23:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imelaani operesheni za kijeshi Iran dhidi ya makundi ya kigaidi ya Wakurdi wanaotaka kujitenga yaliyoko kaskazini mwa Iraq na imeitaka Tehran kusitisha mashambulizi hayo.

  • Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait

    Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait

    Nov 23, 2022 22:54

    Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.

  • Iraq yawatia nguvuni magaidi 15 wa Daesh

    Iraq yawatia nguvuni magaidi 15 wa Daesh

    Nov 18, 2022 22:59

    Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia mbaroni magaidi 15 wa kundi la Daesh katika mikoa sita ya nchi hiyo.

  • Abdollahian: Iraq ina wajibu wa kuzuia vitisho dhidi ya Iran kutokea Kurdistan

    Abdollahian: Iraq ina wajibu wa kuzuia vitisho dhidi ya Iran kutokea Kurdistan

    Nov 15, 2022 04:08

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mwito kwa jirani yake Iraq kuchukua hatua za kuzuia vitisho vinavyopangwa na kutekelezwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kutokea eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa Iraq.

  • IRGC yashambulia tena ngome za magaidi Kurdistan ya Iraq

    IRGC yashambulia tena ngome za magaidi Kurdistan ya Iraq

    Nov 14, 2022 07:44

    Kwa mara nyingine, Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeshambulia na kuharibu ngome za magaidi katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa Iraq.

  • Mkwamo wa kisiasa wa Iraq wamalizika baada ya Bunge kupasisha serikali ya al-Sudani

    Mkwamo wa kisiasa wa Iraq wamalizika baada ya Bunge kupasisha serikali ya al-Sudani

    Oct 28, 2022 07:13

    Bunge la Iraq limeipasisha serikali ya Waziri Mkuu Mohammad Shia al-Sudani baada ya kuipigia kura ya kuwa na imani nayo.

  • Iraq katika mchakato wa kuvuka mkwamo wa kisiasa wa mwaka mmoja

    Iraq katika mchakato wa kuvuka mkwamo wa kisiasa wa mwaka mmoja

    Oct 15, 2022 23:00

    Hatimaye bunge la Iraq limemchagua rais mpya wa nchi hiyo Abdul Latif Rashid ambapo rais huyo pia katika hatua yake ya awali amemteua Mohammed Shia al-Sudani kuwa Waziri Mkuu na kumpatia jukumu la kuunda serikali.

  • Rais wa Iran aipongeza Iraq kwa kuchagua rais mpya

    Rais wa Iran aipongeza Iraq kwa kuchagua rais mpya

    Oct 14, 2022 04:26

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza serikali na wananchi wa Iraq, kufuatia kuchaguliwa na Bunge, Abdul Latif Rashid kuwa rais mpya wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Iran: Diplomasia haikukomesha uwepo wa magaidi Iraq, tumelazimika kuushughulikia kijeshi

    Iran: Diplomasia haikukomesha uwepo wa magaidi Iraq, tumelazimika kuushughulikia kijeshi

    Oct 12, 2022 23:47

    Ofisi ya uwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imemwandikia barua Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kubainisha hoja na sababu ya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya makundi ya kigaidi yaliyoko nchini Iraq na kusisitiza kuwa diplomasia haikuweza kukomesha kuwepo kwa magaidi kaskazini ya nchi hiyo na ndio maana Iran imelazimika kutumia nguvu za kijeshi.

  • Amir-Abdollahian: Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq alikuwa amebeba salamu za Marekani kwa Iran

    Amir-Abdollahian: Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq alikuwa amebeba salamu za Marekani kwa Iran

    Sep 30, 2022 04:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, katika kipindi cha miezi iliyopita baadhi ya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi kadhaa wamekuwa wakifikisha jumbe za Marekani kwa Iran na kinyume chake, na akaongeza kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein naye pia alikuwa amebeba ujumbe wa salamu za Marekani kwa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS