Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq

    Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq

    Aug 30, 2022 08:30

    Jumatatu ya jana tarehe 29 Agosti Iraq ilishuhudia sokomoko na matukio ambayo kimsingi yalitabiriwa kutokea.

  • Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (50)

    Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (50)

    Aug 30, 2022 02:18

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran inataka mgogoro wa Iraq kutatuliwa kupitia njia za kisheria

    Iran inataka mgogoro wa Iraq kutatuliwa kupitia njia za kisheria

    Aug 29, 2022 23:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza haja ya kuhifadhiwa umoja wa kitaifa wa Iraq, akisema matatizo ya nchi hiyo yanapaswa kutatuliwa kwa njia za kisheria.

  • Muqtada Sadr atangaza kujiuzulu siasa

    Muqtada Sadr atangaza kujiuzulu siasa

    Aug 29, 2022 08:16

    Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq ametangaza kujiuzulu harakati na shughuli zote za kisiasa.

  • Mazungumzo ya vyama; njia ya kuikwamua Iraq katika mgogoro

    Mazungumzo ya vyama; njia ya kuikwamua Iraq katika mgogoro

    Aug 18, 2022 22:10

    Rais, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge pamoja na vyama kadhaa vya siasa vya nchi hiyo wametoa taarifa wakisisitizia ulazima wa kukomeshwa aina yoyote ile ya mzozo na mvutano katika mitaa na barabara za nchi hiyo.

  • Iraq katika mkondo wa kushtadi zaidi mkwamo wa kisiasa

    Iraq katika mkondo wa kushtadi zaidi mkwamo wa kisiasa

    Aug 16, 2022 22:04

    Uamuzi wa makundi na mirengo ya kisiasa ya Iraq wa kufanya mikusanyiko ya barabarani umeifanya anga ya kisiasa ya nchi hiyo kuwa tete zaidi na mkwamo wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo kushtadi zaidi.

  • Magaidi 50 wa Daesh wahamishiwa Iraq kutoka nchini Syria

    Magaidi 50 wa Daesh wahamishiwa Iraq kutoka nchini Syria

    Aug 13, 2022 22:01

    Kitengo cha upashaji habari cha jeshi la Iraq kimetoa ripoti rasmi na kusema kuwa karibu wanachama 50 wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Dashe (ISIS) wamehamishiwa mkoani Nainawa (Nineveh) Iraq kutoka katika kambi ya al Hawl ya nchini Syria.

  • Wafuasi wa mrengo wa Sadr wavamia tena jengo la Bunge la Iraq

    Wafuasi wa mrengo wa Sadr wavamia tena jengo la Bunge la Iraq

    Jul 30, 2022 23:01

    Wafuasi wa mrengo wa Sadr wamevamia tena kwa mara ya pili jengo la bunge la Iraq zikiwa zimepita chini ya siku tatu tangu walipovamia jengo hilo lililoko kwenye eneo lenye ulinzi mkali katikati ya mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad.

  • Mgogoro Iraq; Bunge lavamiwa huku nara zikipigwa dhidi ya Waziri Mkuu aliyependekezwa

    Mgogoro Iraq; Bunge lavamiwa huku nara zikipigwa dhidi ya Waziri Mkuu aliyependekezwa

    Jul 30, 2022 23:01

    Mamia ya wananchi wa Iraq tarehe 27 mwezi huu wa Julai waliandamana katika Eneo la Kijani katika mji mkuu Baghdad na kisha wakavamia Bunge na kupiga nara na shaari dhidi ya mwanasiasa aliyependekezwa kwa ajili ya nafasi ya Waziri Mkuu.

  • Kuwasilisha mashtaka Iraq dhidi ya Uturuki UN na kuongezeka hisia za chuki dhidi ya Ankara ndani ya Iraq

    Kuwasilisha mashtaka Iraq dhidi ya Uturuki UN na kuongezeka hisia za chuki dhidi ya Ankara ndani ya Iraq

    Jul 29, 2022 23:10

    Baada ya Iraq kuwasilisha mashtaka rasmi Umoja wa Mataifa dhidi ya Uturuki, Baraza la Usalama la umoja huo limeitisha kikao cha dharura, ambapo mbali na kulaani shambulio la mizinga lililolenga mkoa wa Duhok, limetangaza uungaji mkono wake pia kwa umoja wa ardhi yote, uhuru na mamlaka ya kujitawala ya Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS