Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Kiongozi Muadhamu: Watu wa eneo hili wanaichukia sana Marekani

    Kiongozi Muadhamu: Watu wa eneo hili wanaichukia sana Marekani

    Jan 01, 2020 08:59

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinzudi ya Kiislamu akibainisha kwamba, 'Mimi, serikali na taifa la Iran tunalaani vikali shambulizi la Marekani dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq', amesisitiza kuwa, watu wa eneo hili wanaichukia sana Marekani.

  • Jibu la Wairaqi kwa shambulizi la Marekani dhidi ya al Hashdul Shaabi

    Jibu la Wairaqi kwa shambulizi la Marekani dhidi ya al Hashdul Shaabi

    Jan 01, 2020 08:43

    Wananchi wa Iraq wamekusanyika na kufanya maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad na kuchoma moto milango kadhaa ya ubalozi huo wakijibu na kuonesha hasira yao dhidi ya mashambulizi yaliyofanywa na Marekani katika ngome za harakati ya wapiganaji wa kujitolea ya al Qhashdul Shaabi.

  • Marekani kutuma askari 4000 Asia Magharibi baada ya ubalozi wake 'kuvamiwa' Iraq

    Marekani kutuma askari 4000 Asia Magharibi baada ya ubalozi wake 'kuvamiwa' Iraq

    Jan 01, 2020 04:27

    Serikali ya Washington inajiandaa kutuma wanajeshi 4,000 wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi, baada ya wananchi waliokuwa na ghadhabu wa Iraq kufanya maandamano mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.

  • Trump apandwa na hasira kutokana na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq

    Trump apandwa na hasira kutokana na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq

    Dec 31, 2019 23:23

    Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha radiamali yake kutokana na kufanyika maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa nchi hiyo huko Baghdad, mji mkuu wa Iraq.

  • Wananchi wenye hasira Iraq waandamana mbele ya ubalozi wa Marekani, balozi atoroka

    Wananchi wenye hasira Iraq waandamana mbele ya ubalozi wa Marekani, balozi atoroka

    Dec 31, 2019 09:10

    Malefu ya wananchi wenye hasira nchini Iraq leo wameandamana mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad baada ya mazishi ya wapiganaji wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi maarufu kama Al Hashd al Shaabi ambapo wamelaani vikali hujuma ya anga ya Marekani dhidi ya vituo vya harakati hiyo.

  • IRGC: Vikosi na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu shambulizi la Marekani

    IRGC: Vikosi na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu shambulizi la Marekani

    Dec 31, 2019 03:55

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) sambamba na kulaani uvamizi uliofanywa na wanajeshi wa Marekani katika ardhi ya Iraq na shambulio walilofanya dhidi ya ngome za vikosi vya kujitolea vya wananchi vya wa nchi hiyo vya Hashdu Shaabi, limesema vikosi vya usalama pamoja na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu chokochoko hizo za Washington.

  • China yailaani Marekani kwa kushambulia vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Iraq

    China yailaani Marekani kwa kushambulia vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Iraq

    Dec 30, 2019 23:15

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameilaani Marekani kwa kushambulia maeneo ya "Basiji ya Wananchi" - vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Iraq vinayojulikana kwa jina maarufu la al Hashd al Shaabi.

  • Makumi ya askari wa Ufaransa wajiunga na makundi ya kigaidi Iraq na Syria

    Makumi ya askari wa Ufaransa wajiunga na makundi ya kigaidi Iraq na Syria

    Dec 19, 2019 00:36

    Kituo cha Kuchunguza Ugaidi cha Ufaransa kimetangaza kuwa wanajeshi 30 wa nchi hiyo wamejiunga na makundi ya kigaidi katika nchi za Syria na Iraq.

  • Waziri Mkuu wa Iraq alitaka jeshi kukabiliana na magenge ya wahalifu

    Waziri Mkuu wa Iraq alitaka jeshi kukabiliana na magenge ya wahalifu

    Dec 13, 2019 23:32

    Waziri Mkuu wa Muda wa Iraq amesema kuwa tukio la Medani ya al Wathba limeonesha kuwa, kuna makundi yaliyoanzishwa kwa makusudi yanayoparamia maandamano ya wananchi kwa ajili ya kufanya mauaji na kuzusha hofu na wahka nchini Iraq.

  • Harakati ya Hashdush-Sha'abi yategua mabomu 100 nchini Iraq

    Harakati ya Hashdush-Sha'abi yategua mabomu 100 nchini Iraq

    Dec 12, 2019 04:30

    Harakati ya Wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imefanikiwa kutegua mabomu 100 pamoja na mada za miripuko katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS