-
Muungano wa Al-Fat'h nchini Iraq watahadharisha kuhusu uingiliaji wa Marekani katika uundaji serikali
Dec 11, 2019 00:17Karim Alyawi, mjumbe wa muungano wa kisiasa wa Al-Fat'h nchini Iraq ametahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya uingiliaji wa Marekani katika uundaji wa serikali na uteuzi wa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.
-
Wairaqi wafanya maandamano Baghdad kuunga mkono matamshi ya Ayatullah Sistani
Dec 05, 2019 08:27Wakazi wa mji mkuu wa Iraq, Baghdad wamefanya maandamano makubwa mapema leo chini ya kaulimbiu ya "Timua Waharibifu" wakitangaza uungaji mkono wao kwa kiongozi mkuu wa kidini nchini humo Ayatullah Ali Sistani.
-
Harakati ya Hashdush-Sha'abi: Hatutaruhusu genge la Daesh kutishia usalama wa Iraq
Dec 04, 2019 21:52Harakati ya wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imetangaza kwamba, wanamuqawama wa harakati hiyo wameazimia vilivyo kutekeleza majukumu yao na kwamba kamwe hawatoruhusu kurejea nchini humo kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ili kutishia usalama na uthabiti wa Iraq.
-
Naibu wa Abubakr al-Baghdadi atiwa mbaroni nchini Iraq
Dec 04, 2019 00:30Vikosi vya usalama vya Iraq vimemtia mbaroni naibu wa Abubakr al-Baghdadi, kinara aliyeuawa wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) huko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Mgogoro wa Iraq na uwezekano wa kuibuka tena kundi la kigaidi la Daesh
Dec 03, 2019 21:10Kushika kasi harakati za mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq kumepelekea kuongezeka indhari kuhusiana na uwezekano wa kuibuka na kupata nguvu tena kundi hilo katika nchi hiyo.
-
Bunge la Iraq laafiki kujiuzulu Waziri Mkuu Adil Abdul-Mahdi
Dec 01, 2019 10:08Bunge la Iraq lililokutana kwa kikao cha dharura kilichofanyika leo limeukubali uamuzi uliochukuliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Adil Abdul-Mahdi wa kujiuzulu wadhifa wake huo.
-
Larijani: Watawala wa Marekani lazima wasitishe sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran
Dec 01, 2019 09:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, 'Bunge la Iran' amesema sera ya Marekani ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran ni ghalati na ni lazima watawala wa Marekani wasitishe sera hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq atangaza nia ya kujiuzulu kufuatiwa mwito wa Ayatullah Sistani
Nov 30, 2019 23:35Waziri Mkuu wa Iraq Adel Abdul-Mahdi amesema, anakusudia kujiuzulu kuitikia mwito wa kiongozi wa juu wa kidini wa nchi hiyo Ayatulllah Ali Sitani aliyewataka wabunge "kuangalia upya" machaguo yao kuhusiana na mustakabali wa Iraq.
-
Makundi ya kisiasa nchini Iraq yampa Waziri Mkuu muhula wa siku 45 kutekeleza mageuzi
Nov 19, 2019 09:44Makundi ya kisiasa nchini Iraq, yamesaini makubaliano maalumu sambamba na kutoa muhula wa siku 45 kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Adil Abdul-Mahdi wa kutekeleza mageuzi yanayotakiwa na wananchi.
-
Rais wa Iraq ajibu uingiliaji wa Marekani katika masuala ya nchi hiyo
Nov 12, 2019 09:07Rais wa Iraq ametoa radiamali yake kwa taarifa ya uingiliaji ya Marekani kwa kusema: Mageuzi yanayotarajiwa huko Iraq kamwe hayapasi kuathiriwa na maamuzi kutoka nje.