Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Bahrain yaunga mkono mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Lebanon na Iraq

    Bahrain yaunga mkono mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Lebanon na Iraq

    Aug 27, 2019 02:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amesema, mashambulio ya kivamizi yaliyofanywa hivi karibuni na ndege zisizo na rubani za utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo kadhaa ndani ya Lebanon na Iraq ni aina mojawapo ya kujihami na ameonesha kuunga mkono hatua hiyo ya utawala huo haramu.

  • Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake

    Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake

    Aug 26, 2019 07:31

    Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi za Lebanon, Iraq na Syria na kusema kuwa, utawala huo unapaswa ukubali taathira mbaya za uchokozi huo.

  • Al Maliki: Iraq itatoa jibu kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Al Maliki: Iraq itatoa jibu kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 24, 2019 02:28

    Makamu wa Rais wa Iraq Nouri al Maliki ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Daawa cha Iraq ametoa onyo kali na kusema kuwa, Iraq itatoa jibu kali iwapo itabainika kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umehusika katika shambulizi la angani dhidi ya kituo cha jeshi la kujitolea la wananchi nchini humo maarufu kama Al Hashd al Shaabi.

  • Tahadhari ya Batalioni za Hizbullah ya Iraq kwa Marekani

    Tahadhari ya Batalioni za Hizbullah ya Iraq kwa Marekani

    Aug 23, 2019 22:10

    Batalioni za Hizbullah ya Iraq zimetoa taarifa zikiitahadharisha Marekani kuhusiana na kuendeleza mashambulizi dhidi ya kambi na vituo vya harakati ya wananchi ya nchi hiyo ya al Hashdu al Shaabi.

  • Pentagon yakadhibisha madai ya Trump, yasema Daesh bado inaendesha shughuli zake Iraq na Syria

    Pentagon yakadhibisha madai ya Trump, yasema Daesh bado inaendesha shughuli zake Iraq na Syria

    Aug 07, 2019 23:31

    Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 19 Disemba 2018 alitangaza kuwa, askari wa Marekani wataondoka nchini Syria. Trump alidai kuwa, sababu ya uamuzi huo ni kushindwa kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria.

  • Mwanamichezo wa Iraq aliyekataa kupambana na Mzayuni katika mashindano ya Thailand alakiwa kishujaa

    Mwanamichezo wa Iraq aliyekataa kupambana na Mzayuni katika mashindano ya Thailand alakiwa kishujaa

    Aug 07, 2019 23:31

    Ali al-Kanani, mwanamichezo wa Kiiraqi wa mchezo wa Ndondi za Kiki (Kickboxing), ambaye alikataa kupambana na mwanamichezo wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mashindano ya kimataifa ya mchezo huo yaliyofanyika nchini Thailand, amelakiwa kishujaa na wananchi wa Iraq alipowasili uwanja wa ndege wa kimatiafa wa Baghdad.

  • Iraq yatahadharisha kuhusu hatari ya mashambulizi ya wanawake Madaesh katika nchi mbalimbali

    Iraq yatahadharisha kuhusu hatari ya mashambulizi ya wanawake Madaesh katika nchi mbalimbali

    Aug 04, 2019 20:54

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq ametahadharisha kuhusu hatari ya wanawake wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh wanaoelekea katika baadhi ya nchi za Kiarabu na zisizo za Kiarabu kwa ajili ya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi.

  • Trump atishia kuwaachilia magaidi wa Daesh warejee katika nchi za Ulaya

    Trump atishia kuwaachilia magaidi wa Daesh warejee katika nchi za Ulaya

    Aug 02, 2019 07:27

    Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kubuni na kueneza shughuli za makundi ya kigaidi likiweo la Daesh katika mgogoro wa Syria kwa lengo la kuindoa madarakani serikali halali ya nchi hiyo.

  • Vyombo vya ujasusi vya Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko Syria, amepooza viungo vya mwili

    Vyombo vya ujasusi vya Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko Syria, amepooza viungo vya mwili

    Jul 29, 2019 22:29

    Kundi la Vipanga (Falcons) la shirika la upelelezi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq limetangaza kuwa, kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi amejificha Syria na angali na satua baina ya wafuasi wa kundi hilo japokuwa amepooza viungo.

  • Mkuu wa Muungano wa al Fat'h asema, watawala wa Bahrain watakumbwa na hatima kama ya Saddam na Gaddafi

    Mkuu wa Muungano wa al Fat'h asema, watawala wa Bahrain watakumbwa na hatima kama ya Saddam na Gaddafi

    Jul 28, 2019 11:21

    Mwenyekiti wa Muungano wa al Fat'h nchini Iraq amesema kuwa hatua ya utawala wa Bahrain ya kuwanyonga vijana wawili wa nchi hiyo kwa tuhuma bandia ina maana ya mwisho wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa sawa kabisa na hatima iliyowapata madikteta walioangamizwa wa Iraq na Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS