Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Waziri Mkuu wa Iraq atoa amri ya kuundwa tume ya uchunguzi ya kubaini ukweli

    Waziri Mkuu wa Iraq atoa amri ya kuundwa tume ya uchunguzi ya kubaini ukweli

    Jul 20, 2019 03:40

    Waziri Mkuu wa Iraq Adil Abdul-Mahdi ametoa amri ya kuundwa kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuchunguza shambulio la anga lililotekelezwa katika kambi ya Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi katika jimbo la Salah ad Din.

  • Waziri wa Mafuta wa Daesh (ISIL) auawa na askari wa Iraq nchini Syria

    Waziri wa Mafuta wa Daesh (ISIL) auawa na askari wa Iraq nchini Syria

    Jul 20, 2019 03:32

    Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Daesh ameangamizwa na vikosi vya kiintelijensia vya Iran katika mkoa wa Deir Ezzur, mashariki mwa Syria.

  • Marekani yaiwekea vikwazo harakati ya Hashd al Shaabi ya Iraq

    Marekani yaiwekea vikwazo harakati ya Hashd al Shaabi ya Iraq

    Jul 19, 2019 01:54

    Naibu Rais wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo imeamua kuwawekea vikwazo makamanda wanne waandamizi wa harakati ya wananchi ya Hashd al Shaabi ya Iraq.

  • Wabunge wa Iraq: Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni kituo cha Mossad na Daesh

    Wabunge wa Iraq: Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni kituo cha Mossad na Daesh

    Jul 15, 2019 07:21

    Mbunge mwenye ushawishi mkubwa wa Iraq amefichua kwamba, ubalozi wa Marekani mjini Baghdad unajihusisha na harakati zinazotia wasiwasi na kwamba maajenti wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad, na kundi la kigaidi la Daesh wamekuwa wakionekana wakiingia na kutoka katika jengo la ubalozi huo.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Kujitoa Marekani katika JCPOA, sababu kuu ya mgogoro Mashariki ya Kati

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Kujitoa Marekani katika JCPOA, sababu kuu ya mgogoro Mashariki ya Kati

    Jul 13, 2019 22:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amefanya mazungumzo na Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya mjini Baghdad ambapo alisema kuwa hatua ya Marekani ya kujitoa kwa upande mmoja katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni sababu kuu ya mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Nouri al-Maliki: Hashdu sh-Sha'abi inadhamini usalama wa Iraq

    Nouri al-Maliki: Hashdu sh-Sha'abi inadhamini usalama wa Iraq

    Jul 13, 2019 02:32

    Nouri al-Maliki, Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq amesema kuwa, wapiganaji wa kujitolea wa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi, wanadhamini usalama wa nchi hiyo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuungwa mkono oparesheni dhidi ya ugaidi katika mipaka ya Syria

    Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuungwa mkono oparesheni dhidi ya ugaidi katika mipaka ya Syria

    Jul 07, 2019 03:18

    Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuendelezwa oparsheni za jeshi la ulinzi la nchi hiyo dhidi ya magaidi wa Daesh katika mpaka wa nchi hiyo na Syria.

  • Malengo ya amri ya kuunganishwa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi na jeshi la Iraq

    Malengo ya amri ya kuunganishwa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi na jeshi la Iraq

    Jul 03, 2019 07:54

    Serikali ya Iraq imetoa dikrii yenye vipengee 10 ya kuijumuisha Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi katika jeshi la Iraq.

  • Iraq yaitaka Marekani ithibitishe madai yake kuhusu shambulizi la drone dhidi ya Saudia

    Iraq yaitaka Marekani ithibitishe madai yake kuhusu shambulizi la drone dhidi ya Saudia

    Jun 29, 2019 23:45

    Iraq imeitaka Marekani ioneshe ushahidi kuhusu madai kwamba ndege isiyo na rubani iliyoshambulia taasisi za mafuta za Saudi Arabia ilitokea katika ardhi ya Iraq.

  • Rais wa Iraq: Hatutairuhusu Marekani itumie ardhi yetu kuishambulia Iran

    Rais wa Iraq: Hatutairuhusu Marekani itumie ardhi yetu kuishambulia Iran

    Jun 26, 2019 02:11

    Rais Barham Salih wa Iraq amesema katu nchi hiyo ya Kiarabu haitairuhusu Marekani itumie ardhi yake kuanzisha shambulizi lolote la kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS