-
Malengo na umuhimu wa safari ya Amir wa Kuwait nchini Iraq
Jun 21, 2019 02:40Swabah al-Ahmad al-Jabir as-Swabah Amir wa Kuwait siku ya Jumatano alifanya safari nchini Iraq ambapo alilakiwa na kufanya mazungumzo na Rais Barham Swaleh wa nchini hiyo.
-
Hizbullah ya Iraq: Uwepo wa askari wa kigeni ni tishio kwa usalama wa taifa na kwa majirani
Jun 20, 2019 07:15Kwa mara nyingine Harakati ya Hizbullah ya Iraq imesisitizia kuondoka askari magaidi wa Kimarakeni katika ardhi ya nchi hiyo kama njia ya kuimarisha uthabiti na usalama wa Iraq.
-
Iraq: Marekani ihitimishe siasa zake za kupenda vita na ifuate njia ya mazungumzo
Jun 02, 2019 23:48Rais Barham Ahmed Salih wa Iraq ameitaka serikali ya Marekani kuhitimisha siasa zake za kupenda vita na kuibua mizozo kupitia miamala yake hasi katika eneo la Asia Magharibi na badala yake ifuate mkondo wa mazungumzo.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq: Kuna baadhi hawaoni mambo mema ya Iran
Jun 01, 2019 22:06Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq, Nouri al-Maliki amesema kuwa, baadhi ya viongozi wa nchi za Kiarabu ni wakaidi kupindukia na wanajifanya hawaoni nafasi muhimu na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kadhia ya Palestina na kupigania kwake usalama wa mataifa ya eneo hili.
-
Iraq yawahukumu kifo raia wa Ufaransa waliojiunga na ISIS (Daesh)
May 26, 2019 23:48Mahakama nchini Iraq imewahukumu adhabu ya kunyongwa raia watatu wa Ufaransa, waliopatikana na hatia ya kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Wairaq wafanya maandamano makubwa kulaani siasa za Marekani dhidi ya Iran
May 26, 2019 06:56Maelfu ya raia wa Iraq wamefanya maandamano makubwa katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mkoa wa Baghdad na Basra wakilalamikia siasa za uhasama za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Harakati ya al-Nujaba ya Iraq: Marekani inatafuta wenzo wa kuibua machafuko Asia Magharibi
May 20, 2019 05:23Mkuu wa Baraza la Utendaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujaba nchini Iraq, Nasr al-Shammari amesema kuwa, Marekani inafuatilia wenzo wa kuibua machafuko katika eneo eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ikiwemo Iraq.
-
Kamanda wa Iraq: Mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran ni dalili ya upumbavu
May 19, 2019 20:50Kamanda wa ngazi za juu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq amesema hatua ya Marekani kushadidisha mashinikizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaashiria 'upumbavu mpya' na hali ya kukanganyikiwa Washington.
-
Viongozi wa Iraq wamwambia Pompeo, Baghdad itaendelea kuwa rafiki wa Iran
May 08, 2019 07:53Waziri Mkuu na Rais wa Iraq wamemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kwamba Baghdad itaendelea kuimarisha ushirikiano, urafiki na majirani wake ikiwemo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Pompeo: Safari nchini Iraq ilikuwa kuhusiana na Iran
May 08, 2019 03:23Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ameitaja safari yake ya ghafla huko Baghdad kuwa inahusiana na mivutano ya sasa kati ya nchi hiyo na Iran.