Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Kuongezeka safari za kidiplomasia nchini Iraq

    Kuongezeka safari za kidiplomasia nchini Iraq

    Jan 15, 2019 03:48

    Jumbe tatu za kidiplomasia za Iran, Ufaransa na Jordan zimewasili nchini Iraq na kufanya mazungumzo na maafisa wa nchi hiyo.

  • Zarif: Iran ina hamu ya kustawisha zaidi na zaidi uhusiano wake na Iraq

    Zarif: Iran ina hamu ya kustawisha zaidi na zaidi uhusiano wake na Iraq

    Jan 13, 2019 12:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye yuko katika ziara ya kikazi nchini Iraq amesisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano wa nchi hizi mbili ndugu kadiri inavyowezekana.

  • Safari ya saba nje ya nchi ya rais wa Iraq katika siku 100 za mwanzo tangu kuingia madarakani

    Safari ya saba nje ya nchi ya rais wa Iraq katika siku 100 za mwanzo tangu kuingia madarakani

    Jan 11, 2019 04:08

    Rais Barham Salih wa Iraq siku ya Jumatano ya tarehe 9 Januari aliwasili Doha, mji mkuu wa Qatar kwa safari rasmi ya kuitembelea nchi hiyo.

  • Turathi za kihistoria zilizoibiwa Iraq na Syria zakutwa kwenye makumbusho ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Turathi za kihistoria zilizoibiwa Iraq na Syria zakutwa kwenye makumbusho ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jan 06, 2019 00:23

    Turathi na athari kadhaa za kihistoria za Iraq na Syria zilizoibiwa wakati wa uvamizi na machafuko yaliyotokea miaka ya karibuni katika nchi hizo zimekutwa kwenye makumbusho ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Ndege za kijeshi za Iraq zaangamiza makamanda 30 wa Daesh nchini Syria

    Ndege za kijeshi za Iraq zaangamiza makamanda 30 wa Daesh nchini Syria

    Jan 01, 2019 04:44

    Ndege za kivita za Iraq zimeshambulia maficho ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh mashariki mwa Syria na kuangamiza makanda wasiopungua 30 wa genge hilo la ukifurishaji.

  • Waziri Mkuu wa Iraq akanusha kuwepo kituo chochote cha kijeshi cha Marekani nchini humo

    Waziri Mkuu wa Iraq akanusha kuwepo kituo chochote cha kijeshi cha Marekani nchini humo

    Dec 31, 2018 03:23

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema, hakuna kituo chochote cha kijeshi cha Marekani au cha nchi nyengine yoyote ya kigeni ndani ya ardhi ya nchi hiyo, na kwamba vituo vyote vya kijeshi ni vya Iraq.

  • Iran: Safari ya kinyemela ya Trump Iraq ni kuwakosea heshima Wairaq

    Iran: Safari ya kinyemela ya Trump Iraq ni kuwakosea heshima Wairaq

    Dec 28, 2018 21:37

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema safari ya siri na ya kushtukiza ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Iraq imekiuka misingi yote ya udiplomasia na ni kutoheshimu uhuru wa kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Ayatullah Khatami: Safari ya siri ya Trump nchini Iraq ni ithibati ya kudhalilika Marekani katika eneo

    Ayatullah Khatami: Safari ya siri ya Trump nchini Iraq ni ithibati ya kudhalilika Marekani katika eneo

    Dec 28, 2018 12:39

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran, ameashiria safari ya kificho na ya kushtukiza ya Rais Donald Trump wa Marekani, akifuatana na mkewe Melania nchini Iraq na kusema kuwa, licha ya Marekani kutumia matrilioni ya dola katika eneo la Mashariki ya Kati, lakini rais wake amelazimika kufanya safari ya siri katika nchi moja ya eneo.

  • Ubalozi wa Marekani Baghdad washambuliwa baada ya safari ya kinyemela ya Trump nchini Iraq

    Ubalozi wa Marekani Baghdad washambuliwa baada ya safari ya kinyemela ya Trump nchini Iraq

    Dec 27, 2018 04:16

    Ubalozi wa Mrekani mjini Baghdad nchini Iraq umeshambuliwa kwa maroketi mapema leo Alkhamisi masaa machache baada ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kufanya safari ya kinyemela nchini Iraq akiandamana na mkewe.

  • Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington

    Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington

    Dec 22, 2018 21:39

    Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa, kuondoka kwa majeshi ya Marekani nchini Syria kuna maana ya kushindwa stratijia za jeshi la nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS