-
Karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magaidi katika nchi za Iraq na Syria
Dec 21, 2018 23:31Kituo kimoja cha utafiti cha Marekani kimetangaza kuwa, karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magenge ya kigaidi katika nchi za Iraq na Syria.
-
Qassemi: Uhusiano mzuri wa Iran na Iraq unaendelea
Dec 17, 2018 10:23Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuweko njama zisizo na natija za Marekani, uhusiano wa Tehran na Baghdad upo katika kiwango kizuri.
-
Jeshi la anga la Iraq lafanya oparesheni dhidi ya Daesh katika ardhi ya Syria
Dec 16, 2018 11:48Wanamgambo kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameangamizwa katika shambulio la anga la jeshi la Iraq lililolenga mkusanyiko wa viongozi wa Daesh katika eneo la al Susah mkoani Deir Zor nchini Syria.
-
Rais wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada katika vita dhidi ya ISIS (Daesh)
Dec 15, 2018 23:12Rais wa Iraq ameishukuru kwa dhati Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake katika vita vilivyopelekea kushindwa magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS au Daesh nchini humo.
-
Timu nyingine ya magaidi wa Daesh yasambaratishwa nchini Iraq
Dec 08, 2018 12:04Vikosi vya ulinzi vya Iraq vimetangaza habari ya kusambaratishwa timu nyingine ya magaidi huko magharibi mwa mji wa al Ramadi, makao makuuu ya mkoa wa al Anbar.
-
Kukiri balozi wa UK kwamba waitifaki wa Marekani ndio wafadhili wakubwa kifedha wa ugaidi nchini Iraq
Nov 29, 2018 23:17Balozi wa Uingereza nchini Iraq Jonathan Wilks, ametoa matamshi muhimu kwa kukiri kwamba Qatar, Saudi Arabia na Imarati (UAE) ndio waliofadhili ugaidi nchini Iraq kwa kiwango kikubwa zaidi cha fedha.
-
Hashdu sh-Sha'abi yafichua njama za Marekani za kutaka kushambulia ngome zake Iraq
Nov 26, 2018 01:04Harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq kupitia mbunge mmoja wa nchi hiyo imeeleza kwamba, Marekani inapanga njama za kutekeleza shambulizi dhidi ya ngome na wapiganaji wake.
-
Magaidi wa Daesh waendelea kuangamizwa kaskazini mwa Iraq
Nov 21, 2018 23:51Magaidi wasiopungua 15 wa ISIS wameangamizwa kwenye operesheni ya jeshi la Iraq katika mkoa wa Salahuddin wa kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Alkhamisi tarehe 22,Novemba, 2018
Nov 21, 2018 23:12Leo ni Alkhamisi tarehe 14 Rabiul Awwal 1440 Hijria sawa na 22 Novemba mwaka 2018.
-
Kiongozi Muadhamu: 'Iraq yenye nguvu na tulivu' isimame kidete mbele ya maadui
Nov 17, 2018 13:13Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei leo amekutana na Rais Barham Ahmed Salih wa Iraq hapa mjini Tehran na kusema kuwa, njia ya kuvuka matatizo na kukabiliana na njama za wasiotaka mema ni kulinda umoja wa kitaifa wa Iraq, kuwafahamu vizuri marafiki na maadui na kusimama kidete mbele ya adui sambamba na kuwategemea vijana na kulinda na kuimarisha mahusiano na umarjaiya au wanazuoni wa kidini.