-
Zaidi ya magaidi 24 wa ISIS wauawa nchini Iraq
Nov 17, 2018 13:00Zaidi ya magaidi 24 wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) wameuawa katika mashambulizi ya anga na nchi kavu yaliyofanywa kwenye maeneo tofauti na wanajeshi wa Iraq katika opereseheni ya kuyasafisha mabaki ya magaidi hao katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Rais Rouhani ampokea rasmi Rais wa Iraq mjini Tehran
Nov 17, 2018 04:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amempokea rasmi mwenzake wa Iraq, Barham Salih katika makao makuu yake ya Saadabad mjini Tehran.
-
Malengo ya safari ya kwanza nje ya nchi ya Rais wa Iraq huko Kuwait
Nov 12, 2018 09:09Barham Salih, Rais mpya wa Iraq jana Jumapili aliwasili nchini Kuwait ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika safari yake ya kieneo ya kuzitembelea nchi kadhaa za Ghuba ya Uajemi.
-
Kharrazi: Kuwepo Marekani nchini Afghanistan kumezidisha matatizo ya kiusalama
Nov 12, 2018 04:47Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran amesema kuwa Marekani imezidisha tu matatizo ya kiuaslama kwa Afghanistan baada ya kuweko nchini humo kwa muda wa miaka 17.
-
Qassemi: Magaidi watashindwa kulipiza kipigo walichopata Iraq
Nov 12, 2018 01:00Iran imelaani na kulitaja kuwa la kinyama shambulio la kigaidi lililofanywa katika mji wa Mosul kaskazini mwa Iraq na kueleza kuwa magaidi watagonga mwamba katika juhudi zao za kujaribu kulipiza kisasi kipigo walichopata kutoka kwa serikali na wananchi wa nchi hiyo.
-
Bunge la Iraq lataka kutimuliwa nchini humo askari wa Marekani
Nov 11, 2018 10:02Mwanasiasa wa ngazi za juu wa Iraq amesema Bunge la nchi hiyo linatazamiwa kujadili hoja ya kuondoka kikamilifu wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu huku Baghdad ikiituhumu Washington kuwa inaingilia masuala yake ya ndani.
-
UN: DAESH (ISIS) imeacha makaburi ya halaiki zaidi ya 200 yenye maelfu ya viwiliwili nchini Iraq
Nov 06, 2018 12:58Makaburi zaidi ya 200 ya halaiki ambayo ndani yake yana maelfu ya viwiliwili yamegunduliwa katika maeneo kadhaa nchini Iraq yaliyokuwa yakikaliwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).
-
Rais Rouhani: Marekani itafeli tu katika njama zake mpya dhidi ya Iran
Oct 31, 2018 12:22Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuwepo vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran, lakini nchi nyingi duniani za Asia na Ulaya zina hamu ya kuendeleza ushirikiano wao na Iran.
-
Wafanyaziara milioni 15 wamefika Karbala kushiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 30, 2018 03:56Baraza la Mkoa wa Karbala nchini Iraq limetangza kuwa limesajili wafanyaziara milioni 15 walioingia nchini humo kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein (as) huku idadi ya mazuwari hao ikiwa inaendelea kuongezeka.
-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran aelekea Najaf Iraq kushiriki maandamano ya Arubaini
Oct 30, 2018 01:15Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anaelekea mjini Najaf, Iraq, kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya Arubaini ya Imam Husain AS na pia kufanya ziara katika Haram tukufu ya Imam Ali AS.