-
Siku moja kabla ya Arubaini ya Imam Hussein (as) zaidi ya wafanyaziara milioni 10 wameshazuru Karbala
Oct 29, 2018 04:45Naibu Mkuu wa Mkoa wa Karbala nchini Iraq amesema: Hadi sasa zaidi ya wafanyaziara milioni 10 wamewasili mkoani humo kwa lengo la kushiriki Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Kuangamizwa ugaidi ndicho kipaumbele kikuu cha serikali mpya ya Iraq
Oct 29, 2018 01:06Jumamosi iliyopita Waziri Mkuu mpya wa Iraq, Adil Abdul-Mahdi alikutana na viongozi kadhaa wa ngazi za juu wa kijeshi na kiusalama nchini humo ambapo alisisitizia ulazima wa kuendelezwa mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi hadi kukatwa kibisa mizizi yake.
-
Magaidi wa ISIS walijizatiti vilivyo Iraq, maghala mengine ya kemikali yagunduliwa Salahuddin, al Anbar
Oct 26, 2018 21:52Vikosi vya usalama vya Iraq vimegundua maghala mengine ya silaha za kemikali za genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mikoa ya Salahuddin na al Anbar, jambo ambalo linathibitisha ni kiasi gani magaidi hao walikuwa wamejizatiti kwa silaha za kila namna hasa za kemikali na za mauaji ya umati.
-
Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq
Oct 26, 2018 10:08Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.
-
Kumbukumbu ya hamasa ya Arubaini ya Imam Hussein AS; nembo ya umoja wa Waislamu ulimwenguni na mshikamano wa mataifa ya Iran na Iraq
Oct 14, 2018 03:19Viongozi wa makabila yanayohamahama ya maeneo ya kusini mwa Iran na Iraq Ijumaa iliyopita walifanya mkutano katika mji wa Basra uliokuwa na nara inayosema. "Kumpenda Imam Hussein AS, Sababu ya Umoja Wetu".
-
Changamoto zinazomkabili Adil Abdul-Mahdi kwa ajili ya kuunda baraza la mawaziri nchini Iraq
Oct 09, 2018 08:31Baada ya Adil Abdul-Mahdi kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Iraq, tayari kumeanza mazungumzo na mashauriano yenye lengo la kuunda baraza la mawaziri nchini humo.
-
Dakta Mukwege wa Kongo DR ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel
Oct 05, 2018 12:14Denis Mukwege, daktari bingwa wa upasuaji raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo pamoja na mwanaharakati wa Iraq, Nadia Murad wametangazwa washindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka huu 2018.
-
Al Hashdu Sha'abi: Al Baghdadi ameponea chupuchupu kuuawa na makombora ya Iran
Oct 05, 2018 04:44Kamanda mmoja wa kikosi cha wapiganaji wa kujitolea nchini Iraq cha al Hashdu Sha'abi ametangaza kuwa Abubakar al Baghdadi kamanda wa kundi la kigaidi la Daesh alinusurika kifo wakati Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran liliposhambulia makao ya viongozi wa kundi hilo la kigaidi huko mashariki mwa Furat nchini Syria Jumamosi iliyopita.
-
Jumatano tarehe 3 Oktoba 2018
Oct 02, 2018 23:09Leo ni Jumatano tarehe 23 Muharram 1440 Hijria sawa na Oktoba 3, mwaka 2018.
-
Ibrahim al-Jaafari: Madai ya Netanyahu juu ya uwepo wa askari wa Iran nchini Iraq ni uongo mtupu + Video
Sep 29, 2018 11:43Ibrahim al-Jaafari, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametupilia mbali madai yasiyo na msingi wowote ya Waziri Mkuu wa utawala Haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu juu ya uwepo wa askari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Iraq na kuongeza kuwa, maneno hayo ni uongo mtupu.