Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Sababu ya Iran kupinga vikali Kura ya Maoni ya kujitenga Kurdistan ya Iraq

    Sababu ya Iran kupinga vikali Kura ya Maoni ya kujitenga Kurdistan ya Iraq

    Aug 19, 2017 03:37

    Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri amesema Iran na Uturuki zinaitakidi kuwa kujitenga eneo la Kurdistan na ardhi ya Iraq kunaweza kuwa mwanzo wa machafuko ya muda mrefu na kuwaka moto wa vita nchini Iraq ambao matokeo yake yanaweza kuziathiri Iran na Uturuki.

  • Bin Salman aitaka Iraq iwe mpatanishi katika mgogoro wa Iran na Saudia

    Bin Salman aitaka Iraq iwe mpatanishi katika mgogoro wa Iran na Saudia

    Aug 13, 2017 23:05

    Qasim al-Araji, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iraq amesema mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na mwana wa mfalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman amemuomba awe mpatanishi katika mgogoro kati ya Saudia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kuendelea huduma za Hashdu sh-Sha'abi, udharura wa operesheni iliyojengeka juu ya msingi wa sheria

    Kuendelea huduma za Hashdu sh-Sha'abi, udharura wa operesheni iliyojengeka juu ya msingi wa sheria

    Aug 13, 2017 07:47

    Naibu Mkuu wa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, Abu Mahdi al-Muhandis, amesema Jumamosi ya jana kwamba, Iraq ingali inaihitajia harakati hiyo kwani kukombolewa mji wa Mosul, hakumaanishi kuwa ndio mwisho wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria nchini Iraq, kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria nchini Iraq, kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Aug 10, 2017 06:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria, Abdul Qader al-Masahel jana tarehe 8 Agosti aliwasili Baghdad nchini Iraq na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo.

  • Iran, muungaji mkono wa umoja na kulindwa ardhi yote ya Iraq

    Iran, muungaji mkono wa umoja na kulindwa ardhi yote ya Iraq

    Aug 09, 2017 22:30

    Sambamba na familia ya Masoud Barzani kushikilia iitishwe kura ya maoni katika eneo la Kurdistan nchini Iraq, maulama na shakhsia wa kidini pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo wamekutana na viongozi wa Iran hapa mjini Tehran na kujadili matukio yanayojiri hivi sasa nchini Iraq.

  • Iraq yataka iundwe kamati kukabiliana na uvunjaji sheria unaofanywa US nchini humo

    Iraq yataka iundwe kamati kukabiliana na uvunjaji sheria unaofanywa US nchini humo

    Aug 08, 2017 22:08

    Makamu wa Rais wa Iraq Nouri al-Maliki ametaka iundwe kamati maalumu kukabiliana na uvunjaji sheria unaofanywa na wanajeshi wa Marekani nchini humo.

  • Usalama warejea Mosul, Iraq baada ya kufurushwa magaidi wa Daesh mjini hapo

    Usalama warejea Mosul, Iraq baada ya kufurushwa magaidi wa Daesh mjini hapo

    Aug 06, 2017 23:45

    Kufuatia kukombolewa kikamilifu mji wa Mosul, Iraq na jeshi la nchi hiyo kutoka mikononi mwa magaidi na wakufurishaji wa Daesh, usalama umerejea mjini hapo baada ya kuwepo polisi wa kusimamia amani wapatao elfu 15.

  • Haider al-Abadi: Hashdu sh-Sha'abi Iraq haitovunjwa, itaendelea kuwepo

    Haider al-Abadi: Hashdu sh-Sha'abi Iraq haitovunjwa, itaendelea kuwepo

    Aug 05, 2017 22:39

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi kamwe haitovunjwa na itaendelea kuwepo.

  • Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua mamia ya raia wa Syria na Iraq

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua mamia ya raia wa Syria na Iraq

    Aug 04, 2017 22:09

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika kile kinachoitwa vita vya kupambana na ugaidi umetangaza katika takwimu zake za kila mwezi kuwa umeua raia 624 kwenye mashambulizi ya anga uliyofanya katika nchi za Iraq na Syria.

  • UN yaipongeza al Hashdu sh-Sha'abi kwa mapambano yake dhidi ya Daesh

    UN yaipongeza al Hashdu sh-Sha'abi kwa mapambano yake dhidi ya Daesh

    Aug 01, 2017 22:21

    Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Iraq amepongeza nafasi ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi katika kufanikisha ukombozi wa miji mbalimbali ya Iraq na kulinda maisha ya raia katika vita dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS