-
Iran, muungaji mkono wa umoja na kulindwa ardhi yote ya Iraq
Aug 09, 2017 22:30Sambamba na familia ya Masoud Barzani kushikilia iitishwe kura ya maoni katika eneo la Kurdistan nchini Iraq, maulama na shakhsia wa kidini pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo wamekutana na viongozi wa Iran hapa mjini Tehran na kujadili matukio yanayojiri hivi sasa nchini Iraq.
-
Iraq yataka iundwe kamati kukabiliana na uvunjaji sheria unaofanywa US nchini humo
Aug 08, 2017 22:08Makamu wa Rais wa Iraq Nouri al-Maliki ametaka iundwe kamati maalumu kukabiliana na uvunjaji sheria unaofanywa na wanajeshi wa Marekani nchini humo.
-
Usalama warejea Mosul, Iraq baada ya kufurushwa magaidi wa Daesh mjini hapo
Aug 06, 2017 23:45Kufuatia kukombolewa kikamilifu mji wa Mosul, Iraq na jeshi la nchi hiyo kutoka mikononi mwa magaidi na wakufurishaji wa Daesh, usalama umerejea mjini hapo baada ya kuwepo polisi wa kusimamia amani wapatao elfu 15.
-
Haider al-Abadi: Hashdu sh-Sha'abi Iraq haitovunjwa, itaendelea kuwepo
Aug 05, 2017 22:39Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi kamwe haitovunjwa na itaendelea kuwepo.
-
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua mamia ya raia wa Syria na Iraq
Aug 04, 2017 22:09Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika kile kinachoitwa vita vya kupambana na ugaidi umetangaza katika takwimu zake za kila mwezi kuwa umeua raia 624 kwenye mashambulizi ya anga uliyofanya katika nchi za Iraq na Syria.
-
UN yaipongeza al Hashdu sh-Sha'abi kwa mapambano yake dhidi ya Daesh
Aug 01, 2017 22:21Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Iraq amepongeza nafasi ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi katika kufanikisha ukombozi wa miji mbalimbali ya Iraq na kulinda maisha ya raia katika vita dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Wanazuoni wa Iraq washangaa kimya cha nchi za Kiarabu kuhusu al-Aqsa
Jul 26, 2017 03:18Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Iraq imeeleza kusikitishwa kwake na kimya cha watawala wa nchi za Kiarabu kuhusu hali mbaya ya mgogoro inayoikabili Quds na msikiti mtukufu wa al-Aqsa.
-
Magaidi Madaesh 87 wahojiwa Iraq ili kupata fununu kuhusu Abubakar Al-Baghdadi
Jul 25, 2017 22:38Wizara ya Ulinzi ya Iraq imetangaza kuwa magaidi 87 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, raia wa nchi 17 tofauti wanasailiwa kwenye jela za usalama za nchi hiyo ili kupata fununu na taarifa kuhusu kinara wa kundi hilo la kitakfiri Abubakar Al-Baghdadi.
-
Mwanajeshi wa Marekani akiri kuwaua kinyama Wairaki
Jul 22, 2017 03:20Mwanajeshi mmoja wa Marekani amekiri kuua kinyama zaidi ya Wairaki 2000 katika kipindi cha miaka mitano aliyohudumu nchini humo.
-
Nouri al-Maliki: Iraq haitakuwa pamoja na nchi za Kiarabu dhidi ya Iran
Jul 21, 2017 21:59Nouri al-Maliki, Makamu wa Rais wa Iraq amesema kuwa, nchi yake haitakuwa pamoja na nchi za Kiarabu kwa ajili ya kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kubainisha kwamba, jambo hilo halitawezekana.