-
OIC yalaani kuuawa shahidi Wapalestina 3 Nablus
May 22, 2023 23:49Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani kitendo cha wanajeshi makatili wa Israel cha kuwaua shahidi Wapalestina watatu katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Jumapili, tarehe 14 Mei, 2023
May 13, 2023 21:55Leo ni Jumapili tarehe 23 Shawwal 1444 Hijria sawa na tarehe 14 Mei 2023.
-
Wataalamu wa UN: Israel iwajibishwe kwa mauaji ya Khader Adnan
May 04, 2023 04:47Wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa wametaka Israel iwajibike kwa mauaji ya Khader Adnan, kiongozi Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina ambaye alikata roho na kufa shahidi akiwa anashikiliwa katika jela ya Israel kufuatia mgomo wa kususia kula kwa muda wa siku 87.
-
Kamanda: Israel itapata jibu kali ikithubutu kuishambulia Iran
Apr 27, 2023 06:22Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa makombora ya Iran yako tayari kulenga kitovu cha utawala wa Kizayuni wa Israel iwapo utawala huo au nchi yoyote itajaribu kutishia usalma wa anga ya Iran.
-
Upatanishi wa Wazayuni Sudan; kisingizio kingine cha kujipenyeza
Apr 26, 2023 07:28Katika hali ambayo mgogoro wa Sudan pamoja na vita vinaendelea kushuhudiwa, utawala haramu wa Israel umewaalika majerali mahasimu wa Sudan kwenda Tel Aviv kwa ajili ya upatanishi.
-
UN yatahadharishwa: Tafsiri ya 'chuki dhidi ya Uyahudi' isitumiwe kudhibiti ukosoaji dhidi ya unyama wa Israel
Apr 22, 2023 08:36Zaidi ya mashirika 100 ya kutetea haki za binadamu na haki za kiraia yameuonya Umoja wa Mataifa dhidi ya matumizi ya tafsiri ya chuki dhidi ya Wayahudi ambayo inaweza kutumiwa kuzuia ukosoaji wa uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kudhoofisha uungaji mkono wa haki za Wapalestina.
-
Mkuu wa IRGC: Israel itaporomoka na Palestina itapata uhai mpya
Apr 14, 2023 23:07Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anasema kuwa utawala wa Israel uko karibu kuporomoka huku ukikabiliwa na migogoro kadhaa wakati ambao harakati za ukombozi wa Palestina zinapata uhai mapya.
-
Maandamano ya kutaka kufungwa kampuni za silaha za Israel yafanyika UK
Apr 02, 2023 07:46Wanaharakati wa kutetea haki za wananchi madhulumu wa Palestina wamefanya maandamano katika miji kadhaa ya Uingereza, kushinikiza kufungwa kwa mashirika ya kuzalisha silaha ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Waandamanaji Israel waapa, maandamano yataendelea hadi ‘mageuzi ya mahakama’ yatakapofutiliwa mbali
Mar 28, 2023 22:40Kiongozi wa waandamanaji dhidi ya serikali ya utawala haramu wa Israel ameapa kuwa maandamano yataendelea katika maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu licha ya waziri mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu, kutangaza kuwa mpango tata wa marekebisho ya mahakama ya utawala huo umeakhirishwa hadi mwezi ujao.
-
Netanyahu alegeza kamba baada ya maji kumfika shingoni
Mar 28, 2023 03:59Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu amelazimika kuakhirisha utekelezaji wa mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi ya mahakama' kufuatia maandamano ya Wazayuni dhidi ya mpango huo kwa wiki 12 mfululizo.