-
Jeshi la Israel laendelea kumwaga damu za Wapalestina Nablus
Oct 29, 2022 00:24Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza umwagaji damu dhidi ya Wapalestina madhulumu katika mji wa Nablus ulioko katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi wawili miongoni mwao.
-
Askari wa Israel awasihi vijana Wapalestina Al-Khalil: 'Basi tena, tutaabani'
Oct 25, 2022 23:03Mitandao ya kijamii imesambaza video inayomuonyesha askari mmoja wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel akiwasihi vijana Wapalestina katika eneo la Al-Khalil, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan wahitimishe muqawama na mapambano dhidi yake yeye na wanajeshi wenzake.
-
Wapalestina 5 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi
Oct 25, 2022 07:49Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia makazi ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina watano.
-
Russia yaionya vikali Israel dhidi ya kuipa silaha Ukraine
Oct 18, 2022 04:10Rais wa zamani wa Russia ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka usithubutu kuipa silaha Ukraine.
-
Australia yatengua uamuzi wa kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel
Oct 18, 2022 04:07Serikali ya Australia imetangaza habari ya kubatilisha uamuzi wake tata wa kulitambua eneo la magharibi mwa Quds linalokaliwa kwa mabavu, eti kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Jumamosi, 15 Oktoba, 2022
Oct 15, 2022 00:58Leo ni Jumamosi tarehe 18 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe 15 Oktoba 2022 Miladia.
-
Al-Azhar yalaani kuchomwa moto Qurani na walowezi wa Kizayuni
Oct 11, 2022 08:42Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri kimelaani kile ilichokitaja kuwa ugaidi za Kizayuni, baada ya Walowezi wa Kiyahudi kuchoma moto Qurani Tukufu katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kukiri Waziri Mkuu wa UK kwamba yeye ni Zayuni "la kutupwa"
Oct 06, 2022 23:06Liz Truss ambaye ni karibu mwezi mmoja tu nyuma ameanza kazi ya uwaziri mkuu wa Uingereza, amejitokeza hadharani na kutangaza kuwa yeye ni Zayuni "la kutupwa" yaani Mzayuni mkubwa sana na amesema atahakikisha uhusiano wa London na Wazayuni utaimarika mno wakati wa uongozi wake.
-
Mkutano wa ushirikiano wa Israel na EU wakosolewa
Oct 04, 2022 04:16Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Palestina yamelaani mkutano wa ushirikiano baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Ulaya, wakati huu ambapo utawala huo haramu umeshadidisha hujuma na mbinyo dhidi ya Wapalestina.
-
Nasrullah: Macho na makombora yetu yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish
Sep 17, 2022 07:29Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, amesema leo Jumamosi kwamba macho na makombora ya harakati hiyo yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish, ambao inazozaniwa baina ya Lebanon na utawala haramu wa Israel.