-
Mahakama ya Ufaransa yakataa kumuachilia huru 'Nelson Mandela wa Kiarabu' Georges Abdallah + Video
Feb 11, 2022 23:29Mwanamapambano anayeunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina na shujaa wa kimataifa Georges Ibrahim Abdallah kwa mara nyingine tena amenyimwa uhuru wake na mahakama za Ufaransa.
-
Iran: Uamuzi wa AU kuisimamishia Israel uanachama ni wa hekima, sahihi
Feb 08, 2022 04:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kusimamisha hadhi ya uanachama mtazamaji ya utawala wa Kizayuni Israel katika jumuiya hiyo ya kibara.
-
Kuwait yapiga marufuku filamu ya 'Death on the Nile' iliyoigizwa na Muisraeli
Feb 07, 2022 23:19Kuwait imepiga marufuku kuonyeshwa kwa filamu ya Kimarekani ya Death on the Nile, iliyotengenezwa kutoka kwenye riwaya yenye majina ya Agatha Christie na kuchezwa na mwigizaji wa Israel, Gal Gadot.
-
Wapalestina wautaka Umoja wa Afrika kuifukuza Israel katika umoja huo
Feb 05, 2022 10:47Viongozi na makundi ya ukombozi wa Palestina wameutaka Umoja wa Afrika (AU) kufikiria upya uamuzi wa mwaka jana wa kuipa Israel hadhi ya kuwa mwangalizi katika umoja huo.
-
Erdogan: Rais wa Israel ataitembelea Uturuki mwezi ujao
Feb 03, 2022 09:07Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Isaac Herzog ataitembelea nchi hiyo mwezi ujao wa Machi.
-
Hamas yapongeza ripoti ya Amnesty International inayoitaja Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi"
Feb 01, 2022 23:04Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza ripoti ya Amnesty International iliyochapishwa jana Jumanne ambayo imeitambua Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi wa apartheid.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Beirut haitakabidhi silaha za Hizbullah
Jan 29, 2022 08:07Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Lebanon amesema kuwa nchi hiyo haitakabidhi silaha za Hizbullah. Abdallah Bou Habib ameyasema hayo kabla ya mkutano na mawaziri wenzake wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi huko Kuwait unaolenga kuboresha uhusiano.
-
Syria: Silaha za nyuklia za Israel zinatishia amani magharibi mwa Asia
Jan 28, 2022 07:01Mwakilishi wa Syria katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amezitaja silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kubwa kwa usalama na amani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Maandamano ya Wasudani kupinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya nchi hiyo
Jan 27, 2022 08:22Raia wa Sudan wanaendelea kufanya maandamano wakipinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya nchi yao na wamemtaka mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuondoka nchini humo.
-
Rais wa utawala haramu wa Israel kuitembelea Imarati
Jan 26, 2022 08:45Rais wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu wiki ijayo.