Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mwakilishi wa Iran UN asifu maendeleo 'muhimu' ya kuwawezesha wanawake nchini licha ya vikwazo vya Marekani

    Mwakilishi wa Iran UN asifu maendeleo 'muhimu' ya kuwawezesha wanawake nchini licha ya vikwazo vya Marekani

    Jan 19, 2022 07:16

    Iran imepongeza mafanikio makubwa yaliyopatikana hapa nchini katika kuwawezesha wanawake na wasichana, licha ya vikwazo vya Marekani vilivyo kinyume cha sheria na vya kinyama vinavyolenga nchi hiyo.

  • Rais wa Algeria: Kuitetea Palestina ni kipaumbele cha serikali ya Algiers

    Rais wa Algeria: Kuitetea Palestina ni kipaumbele cha serikali ya Algiers

    Jan 18, 2022 23:56

    Rais wa Algeria ametangaza kuwa nchi yake itaendelea kulitetea taifa la Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.

  • Jenerali Haftar, mbabe wa kivita wa Libya aitembelea Israel

    Jenerali Haftar, mbabe wa kivita wa Libya aitembelea Israel

    Jan 16, 2022 04:24

    Mbabe wa kivita na jenerali muasi wa Libya Khalifa Haftar ameripotiwa kufanya safari ya siri ya kuutembelea utawala wa Kizayuni wa Israel, huku duru za habari zikieleza kuwa maafisa wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wanaandamwa na mashinikizo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia.

  • Waigizaji maarufu wamuunga mkono mwenzao aliyewatetea Wapalestina

    Waigizaji maarufu wamuunga mkono mwenzao aliyewatetea Wapalestina

    Jan 14, 2022 21:22

    Makumi ya waigizaji nyota wa filamu duniani wamejitokeza na kutangaza kumuunga mkono muigizaji mwenzao wa Uingereza, Emma Watson, ambaye hivi karibuni alishambuliwa vikali na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram ujumbe wa kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Waziri Mkuu wa Libya akanusha madai ya kukutana na maafisa wa Israel

    Waziri Mkuu wa Libya akanusha madai ya kukutana na maafisa wa Israel

    Jan 13, 2022 23:35

    Kaimu Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa ya Libya amekadhibisha madai kuwa amekutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na kiongozi wa Hamas mjini Doha

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na kiongozi wa Hamas mjini Doha

    Jan 12, 2022 01:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekutana na Ismail Haniyeh kiongozi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.

  • Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, wanapinga ufadhili wa Israel

    Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, wanapinga ufadhili wa Israel

    Jan 07, 2022 23:19

    Zaidi ya wasanii 20 hadi sasa yamejiondoa kwenye Tamasha la Sydney 2022 kupinga mchango wa kifedha uliotolewa na ubalozi wa utawala haramu wa Israel nchini Australia kwa moja ya maonyesho ya tamasha hilo.

  • Palestina: Baadhi ya mataifa ya Waislamu yamekataa kufanya mapatano na Israel licha ya mashinikizo ya Marekani

    Palestina: Baadhi ya mataifa ya Waislamu yamekataa kufanya mapatano na Israel licha ya mashinikizo ya Marekani

    Jan 06, 2022 00:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, baadhi ya mataifa ya Waislamu yamelikataa takwa la Marekani la kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel.

  • Utawala wa Israel wabomoa kituo cha afya cha Wapalestina

    Utawala wa Israel wabomoa kituo cha afya cha Wapalestina

    Jan 04, 2022 23:06

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa kituo cha afya na majengo mengine kadhaa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.

  • Waziri wa zamani wa uchukuzi Israel atoa wito wa kuuliwa kigaidi viongozi wa Hamas

    Waziri wa zamani wa uchukuzi Israel atoa wito wa kuuliwa kigaidi viongozi wa Hamas

    Jan 02, 2022 23:06

    Waziri wa zamani wa Israel ametoa wito wa kuuawa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh na Yahya Sinwar, kufuatia makombora mawili yaliyorushwa na Hamas ambayo Wazayuni wanadai yameanguka baharini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS