-
Jeshi la Israel liliua raia 357 Wapalestina mwaka 2021
Jan 02, 2022 01:07Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliwaua raia Wapalestina wasiopungua 357 mwaka 2021 huku jamii ya kimataifa ikiwa kimya kuhusu jinai hizo dhidi ya raia.
-
Muqawama: Israel italipa gharama kubwa kwa uvamizi wowote dhidi ya Aqsa
Dec 31, 2021 23:29Makundi ya Muqawama ya Palestina yamesema luteka ya pamoja ya kijeshi iliyofanywa hivi karibuni na makundi ya mapambano ya Kiislamu katika Ukanda wa Gaza ilikuwa na ujumbe wa wazi kwamba, shambulio lolote dhidi ya Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa litapelekea Israel kulipa gharama kubwa.
-
HAMAS: Njama mpya za Israel huko Golan ni hujuma dhidi ya Waarabu
Dec 29, 2021 04:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema mpango mpya wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Miinuko ya Golan ya Syria ni hujuma ya moja kwa moja dhidi ya Waarabu wote.
-
Abbas akosolewa kwa kujidhalilisha mbele ya Waziri wa Vita wa Israel
Dec 29, 2021 04:12Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amekosolewa vikali kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kamanda: Adui hawezi kustahamili gharama za makabiliano na Iran
Dec 29, 2021 01:02Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amewashauri maadui wasithubutu kupima uwezo wa kijeshi wa Iran kwa kufanya chokochoko kwani hawataweza kustahamili gharama za vita vya pande zote na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Palestina yataka jamii ya kimataifa izuie ugaidi wa Israel
Dec 18, 2021 09:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura za kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe vitendo vya kigaidi vinavyotekelezwa na walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Safari ya Bennett Imarati; sambamba na mazungumzo ya Vienna na mkutano wa Riyadh
Dec 14, 2021 09:21Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Jumapili usiku aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi na kulakiwa na Abdallah bin Zayed al-Nahyan, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Imarati.
-
Russia: Luteka ya kijeshi ya Marekani na Israel ni tishio kwa usalama wa Asia Magharibi
Dec 10, 2021 23:16Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuwa, mpango wa Marekani na Israel wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ni hatari kwa usalama na utulivu wa eneo nyeti la Asia Magharibi.
-
Kuongezeka mpasuko na utesi wa kisiasa katika serikali tete ya utawala wa Kizayuni
Dec 09, 2021 06:19Mamia ya wakati wa Tel-Aviv, makao makuu ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kupinga serikali ya nchi hiyo wakishinikiza kujiuzulu waziri mkuu Naftali Bennett na kutaka arejee madarakani Benjamin Netanyahu.
-
HAMAS yapongeza hatua ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za Israel
Dec 06, 2021 03:40Harakati ya Mapambano ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kukaribisha kwa mikono miwili hatua ya serikali ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo.