-
Hamas: Tumetoa pigo kubwa kwa nadharia ya usalama wa Israel
Jun 11, 2021 23:42Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema katika mapambano ya siku 12 hivi karibuni, harakati za ukombozi wa Palestina zimetoa pigo kubwa kwa nadharia ya usalama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo imejengeka kwa msingi kuwa utawala huo una uwezo zaidi ya wote katika eneo.
-
Hamas yapongeza mapambano ya jana ya Wapalestina dhidi ya Wazayuni huko Jenin
Jun 10, 2021 21:42Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amepongeza mapambano ya jana ya askari usalama wa Palestina dhidi ya wanajeshi wa utawala vamizi wa Israel kwenye Ukingo wa Magharibi na kuyataja kuwa ni hatua ya kishujaa.
-
Maafisa usalama 3 wa Palestina wauawa shahidi na jeshi la Israel
Jun 10, 2021 07:54Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limevamia mji wa Jenin ulioko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuua shahidi maafisa usalama watatu wa Palestina.
-
Kampuni ya Israel yaiuzia Saudia teknolojia ya ujasusi
Jun 09, 2021 03:46Shirika moja la ujasusi wa mitandaoni la utawala wa Kizayuni wa Israel limeuuzia utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia teknoljia ya kisasa ya kufanya ujasusi na kudukua mawasiliano ya simu-erevu za rununu.
-
Makala inayofichua nafasi ya Israel katika vita dhidi ya Yemen kurushwa hewani
Jun 09, 2021 03:46Msemaji wa Vikosi vya Yemen amesema makala tarishi ya kufichua nafsi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita dhidi ya Yemen vilivyoanza tokea Machi 25 mwaka 2015 itarushwa karibuni hivi.
-
Israel yabomoa makumi ya nyumba za Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jun 08, 2021 03:40Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limebomoa madazeni ya nyumba za Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mwaka wa 54 wa kumbukumbu ya Siku ya Naksa; kuanzia ushindi mkabala na nchi tatu za Kiarabu hadi kushindwa katika vita vya siku 12
Jun 06, 2021 22:02Jumamosi tarehe 5 Juni ilisadifiana na maadhimisho ya mwaka wa 54 wa kumbukumbu ya Siku ya Naksa huko Palestina.
-
Baada ya kuchezea kipigo cha Wapalestina Gaza, Israel iliiomba Marekani iingilie kati
Jun 05, 2021 22:01Gazeti moja la Kizayuni limefichua kuwa, utawala haramu wa Israel uliiangukia miguuni Marekani ukiitaka iingilie kati na ishinikize kusitishwa mapigano baina ya utawala huo pandikizi na makundi ya muqawama ya Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi za mwaka 1948
Jun 04, 2021 21:58Katika ripoti yake mpya, Umoja wa Mataifa umefichua jinai mpya kadhaa zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel tangu mwaka 1948.
-
HAMAS: Mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza unaelekea kuvunjika
Jun 01, 2021 03:26Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema wananchi wa Palestina wamekaribia sana kuuvunja mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza uliowekwa na utawala wa Kizayuni tokea mwaka 2007.