Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Kufunguliwa ubalozi wa Imarati huko Tel Aviv, pongezi kwa Israel kwa mauaji yake dhidi ya watoto wa Gaza

    Kufunguliwa ubalozi wa Imarati huko Tel Aviv, pongezi kwa Israel kwa mauaji yake dhidi ya watoto wa Gaza

    May 31, 2021 07:21

    Serikali ya Imarati jana tarehe 30 Mei ilifungua rasmi ubalozi wake mjini Tel Aviv.

  • Brigedia Jenerali Qaani: Wazayuni waondoke mara moja katika ardhi za Wapalestina

    Brigedia Jenerali Qaani: Wazayuni waondoke mara moja katika ardhi za Wapalestina

    May 29, 2021 08:02

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema wakati umefika kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka katika ardhi za Wapalestina unaozikalia kwa mabavu haraka iwezekanavyo.

  • Ripoti ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN kuhusu jinai za Israel katika vita vya Gaza

    Ripoti ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN kuhusu jinai za Israel katika vita vya Gaza

    May 28, 2021 22:32

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Alkhamisi wiki hii alitoa ripoti yake kuhusu vita vya siku 12 vya Israel na mashambulizi ya kikatili ya utawala huo dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • Waindonesia waandamana kulaani uungaji mkono wa US kwa Israel

    Waindonesia waandamana kulaani uungaji mkono wa US kwa Israel

    May 28, 2021 08:01

    Wananchi wa Indonesia wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Marekani na ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Jakarta kulalamikia na kulaani uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za utawala haramu wa Israel.

  • Iran: Kinga ya kutoshitakiwa viongozi wa Israel barani Ulaya haipaswi kuendelea

    Iran: Kinga ya kutoshitakiwa viongozi wa Israel barani Ulaya haipaswi kuendelea

    May 27, 2021 22:18

    Ofisi ya Uwakilishi ya Iran katika Umoja wa Ulaya imetuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na kusema kuwa, kinga ya kutoshitakiwa viongozi wa Israel wanaotenda jinai kubwa za kinyama dhidi ya watu wasio na hatia, haipaswi kuachiwa iendelee.

  • Baada ya kudhalilishwa Gaza, Israel sasa yaitishia vita Lebanon

    Baada ya kudhalilishwa Gaza, Israel sasa yaitishia vita Lebanon

    May 27, 2021 03:20

    Baada ya kudhalilishwa na kushindwa vibaya na kambi ya muqawama katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, utawala wa Kizayuni wa Israel sasa unatishia kuishambulia kijeshi Lebanon.

  • Maprofesa wa Iran wataka kuhitimishwa jinai za utawala wa Kizayuni

    Maprofesa wa Iran wataka kuhitimishwa jinai za utawala wa Kizayuni

    May 26, 2021 23:07

    Maprofesa wa Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa mwito wa kuhitimishwa mara moja jinai zote zinazofanywa na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel na walowezi wa Kizayuni dhidi wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Baraza la Haki za Binadamu la UN leo linajadili mpango wa kuundwa tume ya kuchunguza jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Baraza la Haki za Binadamu la UN leo linajadili mpango wa kuundwa tume ya kuchunguza jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    May 26, 2021 21:49

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepokea muswada unaotaka kuundwa tume ya kimataifa itakayochunguza jinai na uhalifu uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Ufaransa yakiri kuhusu utambulisho wa kigaidi wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina

    Ufaransa yakiri kuhusu utambulisho wa kigaidi wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina

    May 25, 2021 06:03

    Jumapili iliyopita Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa aliashiria hujuma ya kinyama iliyofanywa karibuni na utawala haramu wa Israel katika miji kadhaa ya Waarabu katika ardhi unazozikalia kwa mabavu na kutahadharisha dhidi ya ubaguzi wa rangi unaotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina.

  • Msemaji wa Brigedi za al Qassam: Ushindi katika vita vya Saif al Quds ni natija ya damu za mashahidi

    Msemaji wa Brigedi za al Qassam: Ushindi katika vita vya Saif al Quds ni natija ya damu za mashahidi

    May 25, 2021 03:23

    Msemaji wa Brigedi za al Qassam ambazo ni tawi la kijeshi la harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, ushindi katika vita vya Saif al Quds ni matokeo ya damu za mashahidi na yenye baraka yanayotokana na utendaji mzuri wa wapiganaji wao katika chumba cha pamoja cha makundi ya muqawama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS