-
Brigedia Jenerali Qaani: Sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika
Mar 12, 2021 08:33Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika.
-
Iran yaionya Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ghalati
Mar 06, 2021 04:44Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ghalati kwa kisingizio cha mripuko uliotokea katika meli ya utawala huo katika Bahari ya Oman wiki iliyopita.
-
Jaji Mkuu Afrika Kusini atakiwa kuomba radhi kwa kutoa matamshi yanayoiunga mkono Israel
Mar 05, 2021 04:43Tume ya Mahakama za Afrika Kusini imemwamuru Jaji Mkuu wa nchi hiyo kuomba radhi na kutengua matamshi aliyotoa mwaka jana ambayo yalitambuliwa kuwa yanauunga mkono utawala ghasibu wa Isarel, katika nchi hiyo ya Kiafrika inayotetea watu wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Hamas: Uvamizi dhidi ya Syria ni ishara ya vitendo vya dhulma vya Israel
Mar 01, 2021 09:20Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, uvamizi wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni katika mji mkuu wa Syria Damascus ni ishara ya vitendo vya dhulma na uonevu vya Wazayuni.
-
Mfalme wa Jordan afanya mkutano wa siri na Waziri wa Vita wa Israel
Feb 28, 2021 09:54Mfalme Abdallah wa Pili wa Jordan amekutana kwa siri na kificho na Waziri wa Masuala ya Kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benny Gantz nchini Jordan.
-
Mufti Mkuu wa Misri aonya dhidi ya mpango wa Israel wa kuiyahudisha Quds
Feb 27, 2021 08:37Mufti Mkuu wa Misri ametadharisha juu ya njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuuyahudisha mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, na kufuta kabisa utambulisho wake halisi.
-
Makundi ya kutetea haki za binadamu yataka kufuatiliwa jinai za kivita za Israel
Feb 26, 2021 23:20Wawakilishi wa makundi ya kutetea haki za binadamu yamemtakak Rais wa Marekani afute vikwazo vilivyowekwa na serikali ya Washingtoin dhidi ya wendesha mashtaka wa Mahakkama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na kushughulikia jinai za kivita zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Morocco yashadidisha ukandamizaji baada ya kuanzisha uhusiano na Israel
Feb 20, 2021 09:15Serikali ya Morocco imeshadidisha mbinyo, ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya wanaharakati na wananchi wa kawaida nchini humo, baada ya Rabat kukubaliana na utawala wa Kizayuni wa Israel kuanzisha uhusiano wa pande mbili.
-
Manung'uniko baada ya Equatorial Guinea kusema itahamishia ubalozi wake Quds
Feb 20, 2021 09:12Hatua ya mtawala wa muda mrefu wa Equatorial Guinea kusema kuwa nchi hiyo itauhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel kutoka Tel Aviv imekosolewa vikali ndani ya nje ya nchi.
-
IRGC: Israel itapata jibu kwa jinai zake dhidi ya taifa la Iran
Feb 16, 2021 04:32Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema hakuna chembe ya shaka kwamba utawala wa Kizayuni wa Israel utapokea jibu kali la Iran kutokana na jinai zake dhidi ya taifa hili, yakiwemo mauaji ya wanasayansi na wasomi wa Iran.