Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Indhari ya Wazayuni kuhusu kusambaratika uchumi wa Israel

    Indhari ya Wazayuni kuhusu kusambaratika uchumi wa Israel

    Nov 11, 2020 04:47

    Naftali Bennett, kiongozi wa chama cha harakati ya mrengo wa kulia wenye kufurutu ada kinachojulikana kama chama cha The New Right amesema kuwa, katika hali ya hivi sasa Israel inaelekea upande hatari na wa kutisha na kwamba, imo mbioni kusambaratika kiuchumi.

  • Jumamosi, 7 Novemba, 2020

    Jumamosi, 7 Novemba, 2020

    Nov 07, 2020 04:05

    Leo ni Jumamosi tarehe 21 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria sawana tarehe 7 Novemba 2020 Miladia.

  • Malawi kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufungua ubalozi Quds inayokaliwa kwa mabavu

    Malawi kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufungua ubalozi Quds inayokaliwa kwa mabavu

    Nov 05, 2020 00:27

    Malawi inatazamiwa kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufuata mkumbo wa Marekani wa kufungua ubalozi katika mji mtukufu wa Quds huko Palestina unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.

  • Tahadhari ya kutokea tetemeko la kisiasa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu Palestina

    Tahadhari ya kutokea tetemeko la kisiasa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu Palestina

    Nov 03, 2020 03:31

    Kwa kuendelea maandamano katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala dhalimu wa Israel, rais wa utawala huo ametoa tahadhari kuhusu mgogoro mkubwa na hatari ambao amekiri kwamba tayari umeanza kutetemesha kuta za utawala huo.

  • Iran: Njama mpya za Marekani na Israel dhidi yetu zitafeli

    Iran: Njama mpya za Marekani na Israel dhidi yetu zitafeli

    Oct 28, 2020 04:15

    Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njama mpya za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kutoa pigo kwa Iran kupitia uanzishwaji wa uhusiano wa kawaida na Tel Aviv, zitagonga mwamba.

  • Al Burhan: Bunge la Sudan linaweza kubadilisha uamuzi kuhusu makubaliano tuliyofikia na Israel

    Al Burhan: Bunge la Sudan linaweza kubadilisha uamuzi kuhusu makubaliano tuliyofikia na Israel

    Oct 27, 2020 04:20

    Kiongozi wa baraza la utawala la Sudan ametetea makubaliano ya kuaibisha iliyofikia serikali ya mpito ya nchi hiyo na Israel na kudai kuwa bunge la Sudan linaweza kuupitia upya uamuzi huo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni.

  • Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Baitul Muqaddas haitauzwa, si kwa amri ya Israel wala Marekani

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Baitul Muqaddas haitauzwa, si kwa amri ya Israel wala Marekani

    Oct 27, 2020 03:54

    Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa Quds tukufu haitauzwa, si kwa amri ya Israel, serikali ya Marekani wala nchi nyingine yoyote duniani.

  • Lawama na ukosoaji dhidi ya Marekani kwa kuyatuhumu mashirika matatu ya haki za binadamu kuwa eti yana chuki na Mayahudi

    Lawama na ukosoaji dhidi ya Marekani kwa kuyatuhumu mashirika matatu ya haki za binadamu kuwa eti yana chuki na Mayahudi

    Oct 23, 2020 09:42

    Katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Rais Donald Trump wa Marekani amechukua hatua nyingi kwa madhumuni ya kuitetea na kuiunga mkono Israel na kuyapiga vita mashirika ya kimataifa ambayo yamechukua msimamo wa kuwatetea na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina dhidi ya jinai wanazofanyiwa na utawala huo wa Kizayuni.

  • Afisa wa Sudan: Nchi inakaribia kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Afisa wa Sudan: Nchi inakaribia kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Oct 22, 2020 23:31

    Afisa mmoja wa Sudan ambaye hakutaka jina lake litajwe amedai kuwa muda wa nchi hiyo kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel umekaribia licha ya vyama mbalimbali na wananchi kupinga jambo hilo.

  • Wazayuni waliofilisika kwa corona waongezeka kwa asilimia 40

    Wazayuni waliofilisika kwa corona waongezeka kwa asilimia 40

    Oct 22, 2020 08:51

    Kuenea maambukizi ya kirusi cha corona katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, kumekuwa na madhara makubwa kwa uchumi wa utawala wa Kizayuni na sasa hivi Wazayuni waliofilisika kutokana na ugonjwa huo hatari wameongezeka kwa asilimia 40.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS