Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • "Chuki dhidi ya Iran" (Iranophobia) ni sera ya pamoja ya Marekani na Utawala wa Kizayuni

    Mar 25, 2019 07:57

    Jitihada za kushadidisha "Chuki dhidi ya Iran" (Iranophobia) ni ajenda daima ya sera za pamoja na utawala wa Kizayuni wa Israel. Maudhui hii ni moja kati ya ajenda muhimu ambazo Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anafuatilia katika safari yake nchini Marekani.

  • Golan, sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Syria

    Golan, sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Syria

    Mar 24, 2019 07:46

    Hivi karibuni na kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, Rais Donald Trump wa Marekani alidai kuwa utawala haramu wa Israel unayo mamlaka ya utawala wa miinuko ya Golan.

  • New York Times: Mshauri wa Bin Salman alisaidiwa na mashirika ya ujasusi ya Kizayuni

    New York Times: Mshauri wa Bin Salman alisaidiwa na mashirika ya ujasusi ya Kizayuni

    Mar 22, 2019 20:01

    Gazeti la New York Times limetangaza kwamba, mshauri wa zamani wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia alisaidiwa na shirika la ujasusi la Kizayuni kwa ajili ya kufanya ujasusi katika nchi kadhaa za Ulaya na Asia.

  • Kuzidi kutengwa Marekani baada ya Ulaya kupinga madai ya Trump kuhusu milima ya Golan ya Syria

    Kuzidi kutengwa Marekani baada ya Ulaya kupinga madai ya Trump kuhusu milima ya Golan ya Syria

    Mar 22, 2019 19:59

    Utawala wa Kizayuni wa Israel una historia ndefu ya kuvamia na kukalia kwa mabavu ardhi za watu wengine. Utawala huo pandikizi na vamizi ulishambulia na kuteka milima ya Golan ya Syria katika vita vya siku sita vya mwaka 1967.

  • Utawala wa Kizayuni wa Israel; nembo ya wazi ya jinai dhidi ya binadamu

    Utawala wa Kizayuni wa Israel; nembo ya wazi ya jinai dhidi ya binadamu

    Mar 21, 2019 01:11

    Kamati ya Kutafuta Ukweli ya Umoja wa Mataifa imetoa ripoti kuhusiana na maandamano yaliyoanza mwaka 2018 katika mpaka wa Gaza, uvamizi na ukandamizaji wa Israel na kutoa orodha ya Wazayuni ambao imewatuhumu kwa kutenda jinai hatari katika matukio hayo.

  • Iran yakanusha vikali madai ya kudukua simu za Wazayuni

    Iran yakanusha vikali madai ya kudukua simu za Wazayuni

    Mar 20, 2019 04:15

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha vikali madai ya utawala haramu wa Israel kwamba Tehran imedukua mawasiliano ya simu ya maafisa wa Kizayuni.

  • UN yailaani Israel kwa kuwapokonya Wapalestina rasilimali

    UN yailaani Israel kwa kuwapokonya Wapalestina rasilimali

    Mar 18, 2019 23:34

    Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina Michael Lynk amesema upokonyaji wa maliasili za Wapalestina unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika maeneo ya Palestina ni uporaji wa wazi.

  • Palestina: Ripoti ya Marekani inadhihirisha uhasama wao kwa Wapalestina

    Palestina: Ripoti ya Marekani inadhihirisha uhasama wao kwa Wapalestina

    Mar 15, 2019 12:07

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani vikali hatua ya Marekani ya kudondosha maneno "inayokaliwa kwa mabavu na Israel" kuashiria Miinuko ya Golan, na "maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu" katika ripoti yake mpya haki za binadamu ya kila mwaka.

  • Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel

    Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel

    Mar 15, 2019 03:51

    Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan imetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Israel mjini Amman, kurejeshwa nyumbani balozi wa Jordan huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kufutwa mkataba wa gesi na Israel.

  • Vijana wa Kipalestina waendelea kuuawa shahidi na askari katili wa Israel

    Vijana wa Kipalestina waendelea kuuawa shahidi na askari katili wa Israel

    Mar 13, 2019 04:34

    Utawala katili wa Israel umeendelea kumwaga damu za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS