Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wanajeshi wa Israel wampiga risasi na kumuua shahidi kijana wa Kipalestina

    Wanajeshi wa Israel wampiga risasi na kumuua shahidi kijana wa Kipalestina

    Mar 10, 2019 10:45

    Kijana wa Kipalestina ameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Afrika Kusini kupunguza uhusiano wake na Israel, yawaunga mkono Wapalestina

    Afrika Kusini kupunguza uhusiano wake na Israel, yawaunga mkono Wapalestina

    Mar 09, 2019 11:45

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa nchi yake inapanga kupunguza hadhi ya ubalozi wake katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kutokana na ukiukaji wa haki za Wapalestina unaofanywa na utawala haramu wa Israel.

  • UN yaiokosoa Israel kwa kupinga ripoti ya mauaji ya Wapalestina Gaza

    UN yaiokosoa Israel kwa kupinga ripoti ya mauaji ya Wapalestina Gaza

    Mar 06, 2019 23:23

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Israel kupinga ripoti ya wataalamu wa umoja huo kuhusu mauaji ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yaliyofanywa na askari katili wa utawala huo haramu.

  • Palestina yapuuza agizo la mahakama ya Israel la kufunga lango la Msikiti wa al-Aqsa

    Palestina yapuuza agizo la mahakama ya Israel la kufunga lango la Msikiti wa al-Aqsa

    Mar 06, 2019 10:25

    Mamlaka ya Wakfu wa Kidini ya Palestina imepuuzilia mbali agizo lililotolewa na mahakama ya utawala wa Kizayuni wa Israel la kuitaka ifunge moja ya malango muhimu ya Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.

  • Corbyn: Uingereza iache kuiuzia silaha Israel, inaua raia Palestina

    Corbyn: Uingereza iache kuiuzia silaha Israel, inaua raia Palestina

    Mar 03, 2019 12:02

    Kiongozi wa chama Leba nchini Uingereza amekosoa vikali mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina na ameitaka serikali ya nchi hiyo kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Kizayuni.

  • Ilhan Omar: Misimamo yangu dhidi ya Israel inatafsiriwa kuwa ni chuki dhidi ya Mayahudi

    Ilhan Omar: Misimamo yangu dhidi ya Israel inatafsiriwa kuwa ni chuki dhidi ya Mayahudi

    Mar 02, 2019 12:29

    Mbunge Muislamu katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema, anasikitika kuona misimamo yake dhidi ya utawala wa Israel inatafsiriwa kuwa ni chuki dhidi ya Mayahudi.

  • Middle East Eye: Salah Gosh amefanya mazungumzo ya siri na Israel

    Middle East Eye: Salah Gosh amefanya mazungumzo ya siri na Israel

    Mar 02, 2019 04:36

    Idara ya Ujasusi ya Sudan imekanusha habari iliyotangazwa na Middle East Eye kwamba mkuu wa idara hiyo, Salah Abdallah Gosh amekutana kwa siri na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa shirika la ujasusi la Israel MOSSAD, Yossi Cohen.

  • Alkhamisi, 28 Februari, 2019

    Alkhamisi, 28 Februari, 2019

    Feb 27, 2019 23:03

    Leo ni Alkhamisi tarehe 22 Jumadithani 1440 Hijria sawa na 28 Februari 2019.

  • Ripoti: Israel imeficha nyaraka laki 3 kuhusu mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina

    Ripoti: Israel imeficha nyaraka laki 3 kuhusu mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina

    Feb 26, 2019 04:29

    Mwandishi wa habari wa Kiyahudi anayeishi jimboni California nchini Marekani amefichua kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeficha nyaraka laki tatu zinazohusu jinai za kutisha za utawala huo haramu yakiwemo mauaji ya Wapalestina.

  • Kushadidi ukatili wa utawala haramu wa Israel dhidi ya maandamano ya 'Haki ya Kurejea'

    Kushadidi ukatili wa utawala haramu wa Israel dhidi ya maandamano ya 'Haki ya Kurejea'

    Feb 25, 2019 04:13

    Jumapili usiku kituo cha haki za binaadamu cha 'Al-Mizan' cha Palestina kilitangaza kwamba tangu yalipoanza maandamano ya 'Haki ya Kurejea' katika Ukanda wa Gaza, hadi sasa jumla ya Wapalestina 267 wameuawa shahidi na askari wa utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS