Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wazayuni wawatia nguvuni wasimamizi wa Matukufu ya Kiislamu Quds

    Wazayuni wawatia nguvuni wasimamizi wa Matukufu ya Kiislamu Quds

    Feb 24, 2019 10:49

    Polisi ya utawala haramu wa Israel imewakamata wasimamizi wa ngazi za juu wa Matukufu ya Kiislamu katika mji mtukufu wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Israel 'yavuna' kwa kuwapa mafunzo ya kijeshi mamluki katika kambi za Imarati

    Israel 'yavuna' kwa kuwapa mafunzo ya kijeshi mamluki katika kambi za Imarati

    Feb 17, 2019 01:06

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeripoti kuwa, utawala haramu wa Israel ni mshirika mkubwa katika vita vya Saudi Arabia na waitifaki wake dhidi ya taifa la Yemen, na kwamba Tel Aviv inapata faida kubwa kwa kuwapa mafunzo ya kijeshi mamluki wa kigeni katika kambi za Umoja wa Falme za Kiarabu.

  • Israel yakerwa na Uholanzi kutambua Gaza, Quds kuwa asili ya Wapalestina

    Israel yakerwa na Uholanzi kutambua Gaza, Quds kuwa asili ya Wapalestina

    Feb 11, 2019 04:12

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeghadhabishwa na hatua ya Uholanzi ya kuwapa Wapalestina wanaoishi nchini humo haki ya kuorodhesha Gaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Mashariki mwa Quds (Jerusalem) kama maeneo walikozaliwa.

  • Utawala katili wa Israel waendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza

    Utawala katili wa Israel waendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza

    Feb 09, 2019 04:17

    Vijana wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika 'Maandamano ya Haki ya Kurejea' ambayo yalifanyika jana katika mpaka wa Ukanda wa Gaza.

  • Avigdor Lieberman ataka kuanzishwa tena siasa za kuwaua Wapalestina

    Avigdor Lieberman ataka kuanzishwa tena siasa za kuwaua Wapalestina

    Feb 08, 2019 11:30

    Waziri wa zamani wa Vita wa utawala haramu wa Israel ametoa wito wa kuanzishwa tena siasa za mauaji dhidi ya viongozi na wanamapambano wa Kipalestina huko katika Ukanda wa Gaza.

  • 2019, mwaka wa kushtadi ukatili na hatua za kibeberu na za kujipanua za Israel

    2019, mwaka wa kushtadi ukatili na hatua za kibeberu na za kujipanua za Israel

    Feb 06, 2019 23:25

    Sera za ukandamizaji za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina, ambazo zimeshtadi na kupamba moto tangu ulipoanza mwaka mpya wa 2019, zimechukua muelekeo mpana na hatari zaidi katika siku za hivi karibuni.

  • Onyo la Iran kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria

    Onyo la Iran kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria

    Feb 06, 2019 03:34

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa nchini Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendelea kuishambulia Syria.

  • Mtandao wa Kijasusi wa utawala  wa Kizayuni wakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran

    Mtandao wa Kijasusi wa utawala wa Kizayuni wakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran

    Feb 03, 2019 21:35

    Mtandao mmoja wa kijasusi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel umeashiria kuzinduliwa kombora jipya la Iran na kukiri kuwa: "Kwa mtazamo wa kijeshi, Iran sasa inaishinda Israel na Marekani."

  • Harakati za Israel za kushadidisha jinai katika maeneo ya Wapalestina

    Harakati za Israel za kushadidisha jinai katika maeneo ya Wapalestina

    Feb 03, 2019 09:24

    Baada ya utawala haramu wa Israel kulitimua kutoka katika mji wa al-Khalil huko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kundi la waangalizi wa kimataifa, Kuwait imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuitisha kikao cha dharura kuhusiana na kadhia hiyo.

  • Jeshi la Israel limeua shahidi Wapalestina 11 mwezi mmoja uliopita

    Jeshi la Israel limeua shahidi Wapalestina 11 mwezi mmoja uliopita

    Feb 01, 2019 23:17

    Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina 11 katika mwezi uliopita wa Januari.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS