-
Marekani yashindwa kuzuia uteuzi wa Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN
Jan 31, 2019 22:51Jarida la Marekani la Foreign Policy limefichua kwamba, kabla ya kuteuliwa Michelle Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Marekani ilifanya jitihada kubwa za kuzuia uteuzi huo lakini jitihada hizo zimeambulia patupu.
-
Malaysia yasisitiza tena kutoruhusu wanamichezo wa Israel kukanyaga ardhi ya nchi hiyo
Jan 26, 2019 10:43Waziri Mkuu wa Malaysia, amesisitiza tena msimamo wa nchi yake wa kutowaruhusu wanamichezo wa timu ya kuogelea ya utawala wa Kizayuni wa Israel kukanyaga ardhi ya Malaysia ili kushiriki mshindano ya dunia ya kuogelea; na akaongeza kwamba: Wanamichezo wa Israel wanatokana na utawala mdanganyifu, na watu wa Malaysia hawawapendi watu wadanganyifu.
-
Jenerali Mzayuni akiri uwezo wa kijeshi wa Syria licha ya vita vya ndani vya miaka mingi
Jan 24, 2019 12:26Jenerali mmoja mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amewataka viongozi wa utawala huo wasidharau tahadhari iliyotolewa na Syria kwamba kama Israel itaendelea kufanya mashambulizi nchini humo, basi Syria nayo itajibu kwa kuushambulia uwanja wa ndege wa Tel Aviv.
-
Utawala haramu wa Israel, mlezi wa ugaidi
Jan 24, 2019 08:56Kamanda wa jeshi la Lebanon ametangaza habari ya kutiwa mbaroni mamluki wa kigeni wa Shirika la Kijasusi la utawala haramu wa Israel (MOSSAD) ambaye alihusika katika jaribio la mauaji lililofeli dhidi ya Muhammad Omar Hamdan, mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika mji wa Saida, Lebanon.
-
Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw
Jan 24, 2019 00:35Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".
-
Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel
Jan 23, 2019 04:23Jeshi la Lebanon limemtia mbaroni ajenti wa Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) aliyehusika katika shambulizi la bomu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Harakati ya Nujabaa Iraq: Kuwekewa vikwazo muqawama ni matokeo ya kufeli njama za Marekani
Jan 22, 2019 11:41Kiongozi wa Baraza la Kisiasa la Muqawama wa Kiislamu la Harakati ya Nujabaa nchini Iraq amesema kuwa, vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya muqawama, vinaonyesha kufeli njama za Washington katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Palestina yalaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria
Jan 22, 2019 04:03Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) na harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina zimelaani mashambulizi mapya ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.
-
Mwanahistoria Mzayuni: Hadi miaka 30 ijayo Israel itakuwa imeshatoweka
Jan 19, 2019 12:04Benny Morris, mwanahistoria mashuhuri wa Kizayuni amesema: Hadi miaka 30 ijayo Israel haitakuwepo tena, na Wazayuni watageuka kuwa jamii ndogo ya wachache.
-
Wimbi jipya la mauaji ya Israel dhidi ya watoto wa Palestina
Jan 16, 2019 23:14Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu cha Mizan kimetangaza kuwa, watoto 50 wa Kipalestina waliuawa kwa kupigwa risasi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mwaka uliomalizika majuzi wa 2018 na wengine elfu 2 na 890 wamejeruhiwa.