-
Onyo la Wapalestina kwa Israel kuhusiana na kuuvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa
Jan 16, 2019 00:57Hujuma na uvamizi wa Wazayuni dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiislamu umeshika kasi katika miezi ya hivi karibuni kwa baraka za viongozi wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Onyo la Russia kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria
Jan 14, 2019 23:11Balozi wa Russia mjini Beirut ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendelea kuishambulia Syria kwa kutumia visingizio mbalimbali.
-
Syria yatungua makombora ya Israel yaliyoelekezwa Damascus
Jan 12, 2019 04:16Jeshi la Syria limetoa jibu kali kwa uvamizi mpya wa Israel, baada ya utawala huo wa Kizayuni kuanzisha mashambulizi ya makombora viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus.
-
Askari katili wa Israel wamuua shahidi kwa risasi mwanamke wa Kipalestina
Jan 12, 2019 04:10Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi kwa kumpiga risasi mwanamke wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel yanyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya Wapalestina wa Gaza
Jan 11, 2019 23:24Katika kile kinachoonekana ni kushadidisha ukatili dhidi ya Wapalestina, utawala wa Kizayuni wa Israel umeripotiwa kunyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya kilimo ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Malaysia haitawaruhusu wanariadha wa Israel kuingia nchini humo
Jan 11, 2019 12:33Malaysia imesema haitawaruhusu wanariadha wa utawala wa Kizayuni wa Israel kukanyaga ardhi ya nchi hiyo, ikiwa ni katika mwendelezo wa serikali ya Kuala Lumpur wa kupambana na utawala huo batili.
-
Avigdor Lieberman akiri kwamba Israel imeshindwa na harakati ya HAMAS Ukanda wa Ghaza
Jan 10, 2019 12:22Waziri wa zamani wa vita wa utawala haramu wa Israel, Avigdor Lieberman sambamba na kukiri kwamba siasa za Tel Aviv mbele ya HAMAS zimefeli, amesema kuwa harakati hiyo ya Kiislamu imepata mafanikio makubwa kama ambavyo imeendelea kubakia imara.
-
Jordan yaitaka Israel iondoke kwenye Miinuko ya Golan ya Syria
Jan 09, 2019 13:29Jordan imeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uheshimu sheria za kimataifa na uondoke haraka iwezekanavyo katika Miinuko ya Golan ya Syria.
-
Magaidi Syria wakutwa na silaha za Marekani na utawala haramu wa Israel
Jan 07, 2019 00:56Wanajeshi wa serikali ya Syria wamenasa silaha zilizotegenezwa Marekani na katika utawala haramu wa Israel ambazo zilikuwa zinatumiwa na magaidi wakufurishaji katika mkoa wa Dara'a kusini maghairbi mwa nchi hiyo.
-
CBS: Misri na Israel zina ushirikiano wa karibu wa kijeshi
Jan 05, 2019 04:27Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ameiomba kanali ya televisheni ya CBS ya Marekani kutorusha hewani mahojiano iliyomfanyia, ambapo alifichua kuhusu uhusiano wa karibu wa kijeshi wa nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.