-
Kushadidishwa mzingiro wa Ghaza ni katika sera za kibaguzi za Israel
Jan 03, 2019 04:50Utawala wa Kizayuni wa Israel umekamilisha ujenzi wa ukuta wa kibaguzi baharini kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza na hivyo kushadidisha mzingiro wa eneo hilo
-
Abbas: Palestina haitaruhusu Marekani iiuzie Israel Quds Tukufu
Jan 01, 2019 04:47Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema Wapalestina katu hawataruhusu Marekani iuuze mji mtukufu wa Quds kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, akisisitiza kuwa mji huo unaokaliwa kwa mabavu ni mji mkuu wa daima wa taifa la Palestina.
-
Vyama vya mrengo wa kulia Israel vinapanga kumuangusha Netanyahu
Dec 31, 2018 06:51Baada ya kusambaratika baraza la mawaziri la utawala haramu wa Israel na kuchukuliwa uamuzi wa kufanyika uchaguzi wa bunge wa kabla ya wakati katika utawala huo, vyama vya mrengo wa kulia katika muungano tawala vimekumbwa na mgawanyiko mkubwa na sasa vinafuatilia mpango wa kumuangusha waziri mkuu Benjamin Netanyahu.
-
Israel yakerwa na waziri wa Jordan kukanyaga bendera ya utawala huo haramu
Dec 30, 2018 23:13Utawala wa Kizayuni wa Israel umeghadhibishwa na kitendo cha waziri mmoja wa Jordan kukanyaga bendera ya utawala huo haramu.
-
Helikopta ya Israel yawashambulia Wapalestina wa Ukanda wa Gaza
Dec 29, 2018 04:28Helikopta ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel imeshambulia maeneo ya kusini mwa Ukanda wa Gaza, kwa madai kuwa hujuma hiyo ni ya ulipizaji kisasi baada ya Wapalestina kuwavurumishia roketi.
-
Benki ya HSBC yajiunga na harakati ya kuisusia Israel
Dec 28, 2018 21:39Benki mashuhuri ya HSBC ambayo ni ya saba kwa ukubwa duniani imesitisha ushirikiano wake na kampuni ya kuzalisha silaha ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya Elbit Systems, kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Marekani imeshatumia dola bilioni 130 kwa ajili ya utawala haramu wa Israel tangu kuundwa kwake
Dec 28, 2018 21:38Takwimu rasmi zinaonyesha kuwa katika kipindi cha miongo saba iliyopita tangu ulipoasisiwa utawala wa Kizayuni wa Israel, serikali ya Marekani imegharimika na kutumia dola bilioni 170 kwa ajili ya kuuhami na kuulinda utawala huo bandia.
-
Sababu za kuvunjwa bunge la Israel
Dec 27, 2018 23:28Wabunge wa bunge la Israel (Knesset) wamepasisha muswada wa kulivunja bunge hilo na kuitisha uchaguzi wa kabla ya wakati wake katika ardhi hizo za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Kuendelea kutapatapa Israel na kuzidi kugonga mwamba hujuma zake tasa dhidi ya Syria
Dec 26, 2018 22:54Vyombo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel, Jumanne usiku zilishambulia mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus, lakini zikakabiliwa na jibu kali la jeshi la nchi hiyo.
-
Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel
Dec 18, 2018 12:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha kuonesha majivuno na kusifia makombora mapya ya utawala huo wa Kizayuni.