-
Uingereza yailaumu Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Dec 16, 2018 04:12Msemaji wa serikali ya Uingereza ameilaumu Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi inazowapora Wapalestina.
-
Australia yafuata mkumbo, yaitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel
Dec 15, 2018 03:23Australia imesema inautambua mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Wazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya
Dec 14, 2018 23:10Afisa mmoja mwandamizi wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel haina uwezo wa kuingia kwenye vita vyengine vipya.
-
Trump kuwa mwenyeji wa Bin Salman na Netanyahu katika 'Camp David ya 2'
Dec 14, 2018 12:22Gazeti la Middle East Eye limeripoti kuwa, Mohammad Bin Salman Aal Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatafakari sana juu ya kufanya mkutano na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu chini ya upatanishi na uenyeji wa Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Hamas yalipiza kisasi baada ya wanachama wake 2 kuuawa na jeshi la Israel
Dec 13, 2018 10:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imewaangamiza Wazayuni wawili kwa kuwafyatulia risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, chini ya masaa 24 baada ya jeshi katili la Israel kuwaua shahidi Wapalestina watatu, wakiwamo wanachama wawili wa harakati hiyo ya Muqawama.
-
Hamas: Israel ndiyo itakayobeba lawama za lolote baya litakalomtokea Mahmoud Abbas
Dec 12, 2018 12:49Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndio utakaobeba jukumu na lawama za jambo lolote baya litakalomtokea Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Arab League yaonya kuhusu azma ya Brazil ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds
Dec 11, 2018 03:45Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeitahadharisha Brazil dhidi ya mpango wake wa kuuhamishia ubalozi katika mji wa Quds kutoka Tel Aviv, ikisisitiza kwamba hatua hiyo itakuwa na athari mbaya katika uhusiano wa nchi hiyo na nchi za Kiarabu.
-
Hizbullah: Hakuna hata sehemu moja ya Israel itakayosalimika na makombora yetu
Dec 09, 2018 11:41Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, hakuna hata sehemu moja ya Israel ambayo haiwezi kufikiwa na makombora ya harakati hiyo ya muqawama.
-
Hadashot TV: Israel na Saudia kutangaza rasmi uhusiano wao ndani miezi michache ijayo
Dec 09, 2018 03:54Kanali mashuhuri ya televisheni ya Hadashot ya utawala haramu wa Israel imefichua kuwa, Tel Aviv ipo mbioni kuwa na uhusiano wa kidiplomasia na Saudi Arabia, na kwamba uhusiano wa tawala mbili hizo utafanywa wa kawaida na rasmi ndani ya miezi michache ijayo.
-
Makundi ya Muqawama Palestina: Marekani, Israel zimepata pigo kubwa UN
Dec 07, 2018 11:07Makundi ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina ya Hamas na Jihadu Islami yamesema kupigwa mweleka katika Baraza la Kuu la Umoja wa Mataifa muswada wa kuilaani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na kuitaja kama kundi la kigaidi ni pigo kubwa kwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.